Assalaam aleykumMnapongezana ujinga. Wajerumani na nyie wapi na wapi?
Assalaam aleykum
Dada faiza,
Hawa wajerumani mi nawapenda kulilo waingereza na wamareksni bora wangetutawala mpaka mwisho.
Kuliko kuwaangalia kina manchester bora bayern
Ni kweli kwa ubaya huo kweli kabisa lakini sasa wao ndo wanapokea wakimbizi na wanajitahidi kuwapa haki huko UlayaWalituulia babu yetu Abdul Rauf Songea Mbano, shujaa wa vita ya maji maji.
Wana maslahi nao, si bure.Ni kweli kwa ubaya huo kweli kabisa lakini sasa wao ndo wanapokea wakimbizi na wanajitahidi kuwapa haki huko Ulaya
Maslahi gani toka kwa wakimbizi 1000000Wana maslahi nao, si bure.
Ni sawasawa na waarabu na ugaidi.Mnapongezana ujinga. Wajerumani na nyie wapi na wapi?
Umeaminishwa hivyo, na wewe bila kufikiri umekubali.Ni sawasawa na waarabu na ugaidi.
Kama waarabu walivyokua wanafanya biashara ya utumwa Africa.Walituulia babu yetu Abdul Rauf Songea Mbano, shujaa wa vita ya maji maji.
100%.BAYERN OYEEEUmeaminishwa hivyo, na wewe bila kufikiri umekubali.
Wanatuchonganisha tupigane ili watuibie kisha wanapokea wakimbizi halafu we jamaa unasifia?Ni kweli kwa ubaya huo kweli kabisa lakini sasa wao ndo wanapokea wakimbizi na wanajitahidi kuwapa haki huko Ulaya
Hapana mkuu wajerumani sio sana wachonganishi kama wenzao halafu si unajua haya mapenzi ya kimchezo tu ndugu.Wanatuchonganisha tupigane ili watuibie kisha wanapokea wakimbizi halafu we jamaa unasifia?
Sent using Jamii Forums mobile app
Tuna hasira sana na hawa watu. Unaongea michezo, umesahau kuwa hawa hawa walikuja Afrka na kujifanya wanaeneza dini kumbe walikuwa wanapanga njama kututukandamiza kwa mgongo wa dini?Hapana mkuu wajerumani sio sana wachonganishi kama wenzao halafu si unajua haya mapenzi ya kimchezo tu ndugu.
Mkuuu hakuna wakoloni waliokuwa na lengo la kuisaidia africa bali ni kuigandamiza wote tunajuaa hilo lkni ukija kwnye effect utakutana na postve and negatve effect sasa katika wakoloni wote hawa jamma naamini ndiyo wangeweza kutuachia effect positively kuliko hayo mengine kama wangetutawala hadi 1961Tuna hasira sana na hawa watu. Unaongea michezo, umesahau kuwa hawa hawa walikuja Afrka na kujifanya wanaeneza dini kumbe walikuwa wanapanga njama kututukandamiza kwa mgongo wa dini?
Sent using Jamii Forums mobile app