gwela2003 JF-Expert Member Joined Mar 15, 2015 Posts 1,210 Reaction score 1,089 Aug 6, 2017 #21 FaizaFoxy said: Mnapongezana ujinga. Wajerumani na nyie wapi na wapi? Click to expand... Faiza hata huku upo..ebu kasaidiane kulea mtoto na wajina wako
FaizaFoxy said: Mnapongezana ujinga. Wajerumani na nyie wapi na wapi? Click to expand... Faiza hata huku upo..ebu kasaidiane kulea mtoto na wajina wako
uhurumoja JF-Expert Member Joined Mar 2, 2014 Posts 9,616 Reaction score 22,521 Aug 6, 2017 #22 Wajerumani wako poa sana ukilinganisha na wakoloni wengine wangekaa kaa hata hadi 1970 au 80 ndio waondoke wachache Sent using Jamii Forums mobile app
Wajerumani wako poa sana ukilinganisha na wakoloni wengine wangekaa kaa hata hadi 1970 au 80 ndio waondoke wachache Sent using Jamii Forums mobile app