Wino wa Printer na idadi ya kurasa

Wino wa Printer na idadi ya kurasa

Mechanic 97

JF-Expert Member
Joined
Feb 6, 2021
Posts
854
Reaction score
1,296
Wakuu naomba kuuliza.

Je, ni kujaza wino kwenye printer hizi za kawaida za Tshs 400k-600k nitaprint kurasa ngapi Hadi wino kuisha na wino wa kuijaza printer unauzwa Tshs ngapi?
 
Back
Top Bottom