Wipes za kuepuka kwa watoto

Hb wa Ilala

JF-Expert Member
Joined
Sep 23, 2015
Posts
1,189
Reaction score
1,217
Matumizi Ya wipes yameonekana trending na modest sana kana kwamba watu wamefumbia macho side Effects zake kwa watoto wetu.Most of them are made of damaging Ingredients ambazo zina Longtime effects kwa watoto mfano Cancer n.k
Siwezi kutaja specifically wipes na wipes ILA ukiwa unanunua angalia vilivyomo ukiona ivi ACHA!!

INGREDIENTS ZENYE MADHARA

1.METHYLISOTHIAZOLINONE
..Hii ni presevative(kitunzi) cha wipes ILI ziendelee kuwa na Unyevu,inasababisha ugonjwa wa dermatitis kwenye ngozi na Cancer,kifupi chake ni MI

2.IODOPROPYNYL BUTYCARBAMATE(IPCB)
..Na hii pia ni presevative na product Ya kumalizia utengenezaji wa mbao(special woods) na rangi(paint) ni allergen(husababisha allergy) na Pia skin Irritant(haipendwi na ngozi).

3.PARABENS MFANO(methylparaben,ethylparaben,butylparaben)
..Hii nayo ni presevative inasababisha cancer na kuadhiri mfumo wa Hormone(oestrogen).

4.TRICOLSLAN
..Inatumika kama Anti-bacterial,inaadhiri mfumo wa uzazi na kuharibu hormonal system infact imepigwa marufuku kwenye nchi kama Japan na Canada

5.SODIUM LAURYL SULFATE(SLS) NA SODIUM LAURETH SULFATE(SLES)
..Hii ni surfactant(nmekosa neno la kiswahili) inayotokana na nazi,inaadhiri Macho na Ngozi kwa Ujumla.

6.POLYETHYLENE GLYCEROL(PEG)
..Inavyonza unyevu-Unyevu kutoka kwenye Ngozi na kuadhiri viungo vya uzazi na hormone system kwa ujumla,huwa vinaanza na herufi PEG Alafu namba

7.PROPYLENE GLYCEROL
..Hii husababisha kuchubuka ngozi,na kusababisa kitu kinaitwa immunotoxity na pia inaadhiri mfumo wa kupumua

8.PHTHALATES
..Hii inatumika kama parfum kwenye wipes huadhiri sana watoto wa kiumi maana inaingilia na kuadhiri mfumo wa utengenezaji sperm

9.FORMALDEHYDE-Releasing chemicals
..Zinatokana na carcinogens ambazo usababisha cancer hizi huadhiri macho,ngozi na mapafu zikigusana na ngozi.

10.PETROCHEMICALS
..zote zinazoishia na "eth" mara nyingi hutokana na Oils na natural Gases ivyo huadhiri ngozi na husababisha cancer,tafuta wipes zenye label ya NO PETROCHEMICALS

Summary;Ukiona wipes Ina Paraben,PEG,Glycerol,Fragnance na Antibacterial ACHANA NAYO!!!!
TUMIENI MAJI AU LOCALLY MADE TOILET PAPERS AKINA MAMA!!
 
Zingine hata hazijaandikwa ingredients mfano hizi neo soft.
 
kweli mkuu asubuhi mchana jioni wakati mtoto anatakiwa aogeshwe mara mbili tu kwa week.ndo maana watoto wa vijijini wapo vizuri kama wanapata mlo mzuri lakini
..u made my day,nmecheka sana ujue
 
nafikiri maji ya vuguvugu ni mazuri kwa kuwaoshea watoto wetu kuliko hizo wipes ni jau sana
 
Tatizo uzungu mwingi
Watu walivaa nepi na kupangusiwa hizo hizo nepi leo hii kila mtu hataki gusa kinyesi cha mtoto
 
Tatizo uzungu mwingi
Watu walivaa nepi na kupangusiwa hizo hizo nepi leo hii kila mtu hataki gusa kinyesi cha mtoto
Alafu ni mama mwenye huyo mtoto,hapa ndo sielewagi mimi kabsa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…