Wipes za kuepuka kwa watoto

Akiogeshwa hakui?????[emoji44][emoji44][emoji44][emoji44]
hahaha, sio kukua ila ni kwa ajili ya kuilinda ngozi ya mtoto. Inashauriwa mtoto mchanga kabla ya kitovu kutoka asiogeshwe. Mwenzi mmoja hadi 3 basi mara 1 au 2 kwa week. Na pia kwa mwezi wa kwanza asiogeshwe na sabuni yoyote maana si rahisi kupata sabuni isiyo na madhara. Kutoogeshwa haina maana hasafishwi. Waweza msafisha hata mara 10 kwa siku kwa kutumia, maji ya vugu vugu, pamba na kitauolo laini.
 
..asante Mpendwa
 


Mwanangu anatumia hii, bila shaka hizi ingredients zake ni salama, kama nazo ni hatari tafadhali nambie ili nimkomeshe bibie kuzitumia!

Asante,
 
Nina wipes aina mbili tofauti hapa na hakuna isiyo na kimojawapo ya hivyo vilivyokatazwa!!!

Please kama kuna mtu ana ambayo haina vyote hapo atuambie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…