Mhaya
JF-Expert Member
- Aug 20, 2023
- 1,831
- 5,489
Baada ya PayPal kufungiwa kutumika Tanzania kumekuwa na changamoto kubwa ya kupokea pesa za kimataifa kwa sababu wengi wetu tumekuwa tukizoea kupokea pesa kwa PayPal.
Lakini kuna Online money transfer moja nayo inafanya kazi vizuri tu. Hii inaitwa WISE, hii platform inaruhusu kutuma na kupokea pesa kwa urahisi sana na imezidi kuwa bora kutokana na uchache wa makato ukilinganisha na platforms nyingine kama Payoneer na World Remit. Kama unataka kupokea pesa au kutuma pesa popote duniani, hii platform ni nzuri zaidi. Ni kama mbadala wa PayPal baada ya kufungwa hapa Tanzania.
Ebu ipitie kisha nipe majibu link hiyo hapo 👉🏽 https://wise.com/invite/ahpc/anordk