Witchcraft diaries

Mkuu mbona " siku za yoyoma" lakini hujatoa hata mada" moja" wakati naona huu uzi ulipokelewA kwa shangwe kubwa mnooo ", kama vile " mwenge" WA Taifa ""... Mshana Jr
 
Duh ila ulimwengu wa roho unatisha sana hasa pale unapojikuta umerudi kwenye ulimwengu wa nyama
 
Mkuu mbona " siku za yoyoma" lakini hujatoa hata mada" moja" wakati naona huu uzi ulipokelewA kwa shangwe kubwa mnooo ", kama vile " mwenge" WA Taifa ""... Mshana Jr
Tunasubiria maboresho huku tunaendelea kuchabanga
 
Hakika jukwaa hilo ndo litaongozwa kutembdelewa na members wengi humu .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…