With Money e'man is HANDSOME, with poverty ur ugly

With Money e'man is HANDSOME, with poverty ur ugly

NGULI

JF-Expert Member
Joined
Mar 31, 2008
Posts
4,801
Reaction score
643
Wahenga wa UK walisema......When poverty comes thru the door love escape through the window.....and the opposite is the case.

Attachments

OMG! Thats very true nguli, bila mijihela huyo jamaa asingepata huyo dada aisee.
 
hela sabuni ya roho Nguli lakini huyo jamaa ni wa ukweli au???picha tu wametengeneza
 
hela sabuni ya roho Nguli lakini huyo jamaa ni wa ukweli au???picha tu wametengeneza

Ni wa kweli na uzuri harusi yao uki i google unaipata ilikuwa ya kufana.
 
to me the question is, how wide will she has to spread her legs apart to accommodate that KIUNO bin kiunu! During KIFO CHA MENDE?????
 
to me the question is, how wide will she has to spread her legs apart to accommodate that KIUNO bin kiunu! During KIFO CHA MENDE?????

Mh! mzee umefikiri mbali
icon10.gif
icon10.gif
 
to me the question is, how wide will she has to spread her legs apart to accommodate that KIUNO bin kiunu! During KIFO CHA MENDE?????

where is creativity hapa? kifo cha mende is not the only option silentwhisper wanaweza kuchukua option ya kuchomeka nyama kwenye mshikaki.
 
Pale chawote wanasema "n'kono n'tupu haulambwi" bila pesa huna mwanamke ila mwanamke bila pesa anapata mwanaume.
 
where is creativity hapa? Kifo cha mende is not the only option silentwhisper wanaweza kuchukua option ya kuchomeka nyama kwenye mshikaki.
au wheel barrow
 
Pale chawote wanasema "n'kono n'tupu haulambwi" bila pesa huna mwanamke ila mwanamke bila pesa anapata mwanaume.

Ndo hapo sasa utashangaa jinsi mambo yanavyoenda
na hata kama huyo mwanamke ana pesa ni mpaka abembeleze ndo kijana akubali saa zingine wanatupwa chini
na mwanaume akiwa na hela vidada vinajipeleka tu bila hata ya kutongozwa dunia ina mambo hii
 
huyo mwanamke ana pesa ni mpaka abembeleze ndo kijana akubali saa zingine wanatupwa chini

Ukioa mwanamke mwenye pesa unashikilia roho mkononi maana manyanyaso utakayo pata sijui awe amekununua namaanisha kwa kukupenda mwenyewe.
 
duh hii kadada kametulia tuliii...

mimi siamini bana,

pesa zinamfanya mwanaume handsome awe ugly inside,

pesa zinamfanya mwanaume azitumie kama lugha badala ya kuwasiliana kwa maneno ya mdomoni

pesa zinanunua uhuru wa mwanamke bila hiari yake

mapenzi na mwanaume mwenye pesa hujengwa kwenye misingi ya pesa, na focus yake iko kwenye pesa, ndio maana hata trust inakuwa na migogoro akipita mwenye pesa zaidi mwanaume tumbo joto...

na mengineyo mengi tu wengine watayaleta hapa na mimi ntaongezea baadae

...pesa yenye raha ni ile ya kuchuma pamoja na mume bana,

maisha ni zaidi ya material things...nk
 
jamani mbona mnaleta mapicha ya kutufanya tupate nightmares!!/????kulikoni ??
 
Back
Top Bottom