With TISS in play, we are all very much compromised!

With TISS in play, we are all very much compromised!

Rev. Kishoka

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2006
Posts
4,526
Reaction score
1,540
Sitaongea mengi sana, lakini kama kichwa cha habari kinavyosema, hata katika kundi letu la kondoo au mshikamano wa mikakati ya uchaguzi wa 2015, kuna wenzetu tunaokumbatiana nao ambao ni Yuda waliopewa vipande 30 vya fedha na wanafanya usaliti wa hali ya juu kwa niaba ya CCM!

Sitasema mengi, bali hali halisi inajidhihiri na kujionyesha!

"Nao walipowekewa sime katika makoo yao, walilainika na kukiri yamini ya adui na kukubali kuwatumikia adui kwa gharama yeyote kunusuru uhai wao na maslahi yao"
 
Back
Top Bottom