Withheld E* katika mtihani wa Taifa ina maana gani?

Withheld E* katika mtihani wa Taifa ina maana gani?

mansakankanmusa

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2010
Posts
4,162
Reaction score
796
Naomba kujua kama mwanafunzi alifanya mitihani yake lakini matokeo yasitoke na badala yake ikawekwa herufi E na ALAMA HII *

Ina maana gani?
 
Naomba kujua * E kama ni withheld results kosa la mtahiniwa huyo ni lipi, kwa anaejua
 
Back
Top Bottom