mansakankanmusa JF-Expert Member Joined Sep 30, 2010 Posts 4,162 Reaction score 796 Jul 15, 2015 #1 Naomba kujua kama mwanafunzi alifanya mitihani yake lakini matokeo yasitoke na badala yake ikawekwa herufi E na ALAMA HII * Ina maana gani?
Naomba kujua kama mwanafunzi alifanya mitihani yake lakini matokeo yasitoke na badala yake ikawekwa herufi E na ALAMA HII * Ina maana gani?
mansakankanmusa JF-Expert Member Joined Sep 30, 2010 Posts 4,162 Reaction score 796 Jul 15, 2015 Thread starter #2 Kwa anaejua anifahamishe Tafadhal
mansakankanmusa JF-Expert Member Joined Sep 30, 2010 Posts 4,162 Reaction score 796 Jul 15, 2015 Thread starter #3 Naomba kujua * E kama ni withheld results kosa la mtahiniwa huyo ni lipi, kwa anaejua
D Deogratius n JF-Expert Member Joined Jan 10, 2015 Posts 1,193 Reaction score 254 Jul 15, 2015 #4 mansakankanmusa said: Naomba kujua * E kama ni withheld results kosa la mtahiniwa huyo ni lipi, kwa anaejua Click to expand... anadaiwa ada ya mtihani. Akalipe watamfungulia
mansakankanmusa said: Naomba kujua * E kama ni withheld results kosa la mtahiniwa huyo ni lipi, kwa anaejua Click to expand... anadaiwa ada ya mtihani. Akalipe watamfungulia