Muuza Kangala
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 1,242
- 4,813
Wananchi wa kawaida wanalalama kupanda bei ya vyakula. Bashe anasema hatafunga mipaka hata kama kilo ya unga itafika buku tano.
Kila mtumishi wa umma anawaza kupiga dili ili ajilipe.
Gharama na ughali wa maisha unazidi kupaa mithiri ya mwewe anavyokwapua vifaranga.
Mkuu wa nchi yupo busy na masuala mengine tu huku akiwa kimya kana kwamba wananchi hawaumii.
Country of desperation