nchi inaelekea Sri Lanka, natania tu!
mbona hali imekuwa ngumu sana mtaani? hivi serikali haina cha kufanya kupunguza makali?
kwanini wasianzishe miradi michache kuchochea uchumi na kuongeza mzunguko wa pesa mtaani ambao umekata ghafla baada ya serikali mpya?