Without dads, kids grow up to become anti-social

Wazazi wote ni muhimu sana kwa malezi ya watoto wawe kwa kike na hata wa kiume. Hata kama single mother anajitahidi vipi lakini bado kutowepo kwa Baba katika maisha ya watoto husika kutawaathiri katika maisha yao ya baadaye. Hili limechachunguzwa.
 
wee nawe kwa ubishi usio na tija!
 
Nakubaliana nawe. mara nyingi hata nidhamu ya watoto waliolelewa bila baba ni tofauti na wale waliolelewa na wazazi wote wawili.
Lipo hili katika jamii yetu. But of course, there are exeptions, howevery few they are....!
 
wee nawe kwa ubishi usio na tija!

Siyo ubishi wa Tija bali nakwambia kweli. Majuu wanawake baada ya kujua wanaweza kununua mbegu na kupata watoto hata kama hawana wanaume waliona jambo hili ni poa sana. Sasa baada ya hii research kufanywa na results kuwekwa hadharani wanawake wanaotaka kuwekewa mbegu ili kujipatia watoto wasiyo na Baba, idadi yao ni ndogo mno kuliko ilivyotegemewa. Wazazi wote ni muhimu sana katika maisha ya watoto wao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…