Without the US, can European Nations depend and survive for themself?

Bata batani

JF-Expert Member
Joined
Nov 11, 2011
Posts
3,217
Reaction score
3,694
Nilikuwa namsikiliza new German chancellor akizungumza baada ya kuchaguliwa alisema "It's high time european nations should get indepence from us"

Najiuliza. Je, wataweza?
 
Nilikuwa namsikiliza new german chancellor akizungumza baada ya kuchaguliwa alisema

It's high time european nations should get indepence from us

Najiuliza je wataweza
kwanini wasiweze? wale wana kila kitu, wanaweza kutengeneza chochote mbacho USA anatengneza. Ni industrialized countries. Highly industrialized and developed...anapata nini cha zaidi kutoka USA? Wakitengeneza Europe Federation Army wanaweza kujitegemea hata kiulinzi...
 
Wao hawawezi na hata USA peke yake haiwezi kusimama kwa muda mrefu. Hawa Wanategemeana sana. Ngoja ajitoe NATO uone watakavyo legea.
 
Hawawezi ndio maana wanalialia kuhusu Ukraine.
 
je wajua soko kubwa la bidhaa zao lipo marekani lakn je wajua china soko kubwa la bidhaa zake lipo marekani maana yake linapofka swala la kiuchumi china yuko tyr kumpoteza urusi na akabaki na marekani unadhan hauzi kwngne kwa mashoga zake akna north korea na urusi anauza bt hawana hela huko pesa iko marekani hao ulaya watazalisha bidhaa je wataenda muuzia nani sasa au watauziana wao kwa wao je itawezekana tambua china ina watu wengi wanasoma bilion 4 na marekan ana watu mamilion tu bt bdo china huko huko kwake wachina hawawez nunua bidhaa za kwao kufidia gap la marekani pamoja na uwingi wao. Kama hautanielewa hapa bs kwaheri.
 
Ujinga ujinga
 
Nilikuwa namsikiliza new German chancellor akizungumza baada ya kuchaguliwa alisema "It's high time european nations should get indepence from us"

Najiuliza. Je, wataweza?
Kiingereza kibovu mno. Ungeandika kiswahili
 
Ujinga ujinga
aaahaahaah npe maarifa na ufahamu ulionao sasa maana nlichoandka hapo ni fact tu hakuna cha kuegemea upande wowote huo ndo uhalisia ndo maana umekosa hoja za kupnga nlichoandka zaid ya kuandka ujinga ujinga unandka kama dada poa wa buza huko uswahilini.
 
Hakuna facts zaidi ya ujinga.

Trade partners wakubwa wa China ni EU na Asean
 
Nilikuwa namsikiliza new German chancellor akizungumza baada ya kuchaguliwa alisema "It's high time european nations should get indepence from us"

Najiuliza. Je, wataweza?
Acha ushamba Europe ilikuwepo kabla ya US
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…