Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 34,256
- 44,597
Huyu msababto anainajisi mahakama. Kwa nini upokee maelekezo ya mtu wa elimu ya hapa na pale?Huu ni wendawazimu....umawezaje kuendelea kuwa mkuu wa Muhimili usioweza kujisimamia mbele ya mhimili mwingine? Kesi ya Lissu ni mfano halisi wa kushindwa kwako kama Jaji Mkuu wa Tanzania...
Hufai
Umeshindwa
Huna weledi
Haiwezekani kabisa kushindwa kutoa maamuzi madogo ili kesi ya Lissu iende kumalizwa...as a matter of fact..wewe na majaji wote wa rufaa mnapaswa kujiuzulu in principle...
Mmedhoofisha zaidi mahakama!!! Mmekuwa kama tawi la CCM
Maskini tz nani mwokozi wake!Huu ni wendawazimu....umawezaje kuendelea kuwa mkuu wa Muhimili usioweza kujisimamia mbele ya mhimili mwingine? Kesi ya Lissu ni mfano halisi wa kushindwa kwako kama Jaji Mkuu wa Tanzania...
Hufai
Umeshindwa
Huna weledi
Haiwezekani kabisa kushindwa kutoa maamuzi madogo ili kesi ya Lissu iende kumalizwa...as a matter of fact..wewe na majaji wote wa rufaa mnapaswa kujiuzulu in principle...
Mmedhoofisha zaidi mahakama!!! Mmekuwa kama tawi la CCM
Yaani...haiwezekani jambo la kufanya review tu linachukua miezi mitatu...kwenye kesi ya uhaini....Masaju hajui kuwa anaenda kutengeneza precedence mbaya sana...hawa watu wakija kufanyiwa wao watajifanya wanajua maana ya haki ni niniKama kuna Taasisi inyaohatarisha amani na ustawi wa Taifa ni Mahakama
Kama kuna Taasisi inayohitaji mageuzi katika Katiba mpya, kwanza, ni Mahakama
Wanajiona hivyo...Hizi mahakama zimekuwa kama matawi ya CCM. Hovyo kabisa!
Uhakika ni Kwamba Masaju atakamatwaHuu ni wendawazimu....umawezaje kuendelea kuwa mkuu wa Muhimili usioweza kujisimamia mbele ya mhimili mwingine? Kesi ya Lissu ni mfano halisi wa kushindwa kwako kama Jaji Mkuu wa Tanzania...
Hufai
Umeshindwa
Huna weledi
Haiwezekani kabisa kushindwa kutoa maamuzi madogo ili kesi ya Lissu iende kumalizwa...as a matter of fact..wewe na majaji wote wa rufaa mnapaswa kujiuzulu in principle...
Mmedhoofisha zaidi mahakama!!! Mmekuwa kama tawi la CCM
Don’t count on him; Masaju ni mmoja wa majaji kazi maalumu!Huu ni wendawazimu....umawezaje kuendelea kuwa mkuu wa Muhimili usioweza kujisimamia mbele ya mhimili mwingine? Kesi ya Lissu ni mfano halisi wa kushindwa kwako kama Jaji Mkuu wa Tanzania...
Hufai
Umeshindwa
Huna weledi
Haiwezekani kabisa kushindwa kutoa maamuzi madogo ili kesi ya Lissu iende kumalizwa...as a matter of fact..wewe na majaji wote wa rufaa mnapaswa kujiuzulu in principle...
Mmedhoofisha zaidi mahakama!!! Mmekuwa kama tawi la CCM
Mkuu, kesi ya Tundu ina ' public interest'', Mahakama inajua hilo. Kwasasa everything is revolving and gravitating on Tundu's case. Nani amewatia upofu hawa watu?Yaani...haiwezekani jambo la kufanya review tu linachukua miezi mitatu...kwenye kesi ya uhaini....Masaju hajui kuwa anaenda kutengeneza precedence mbaya sana...hawa watu wakija kufanyiwa wao watajifanya wanajua maana ya haki ni nini
Simple and clearHuu ni wendawazimu....umawezaje kuendelea kuwa mkuu wa Muhimili usioweza kujisimamia mbele ya mhimili mwingine? Kesi ya Lissu ni mfano halisi wa kushindwa kwako kama Jaji Mkuu wa Tanzania...
Hufai
Umeshindwa
Huna weledi
Haiwezekani kabisa kushindwa kutoa maamuzi madogo ili kesi ya Lissu iende kumalizwa...as a matter of fact..wewe na majaji wote wa rufaa mnapaswa kujiuzulu in principle...
Mmedhoofisha zaidi mahakama!!! Mmekuwa kama tawi la CCM
Hata Masaju akitoka, atakayefuata atakuwa tu kama Masaju, maana ndio mfumo dhalimu wa CCM unavyofanya kaziHuu ni wendawazimu....umawezaje kuendelea kuwa mkuu wa Muhimili usioweza kujisimamia mbele ya mhimili mwingine? Kesi ya Lissu ni mfano halisi wa kushindwa kwako kama Jaji Mkuu wa Tanzania...
Hufai
Umeshindwa
Huna weledi
Haiwezekani kabisa kushindwa kutoa maamuzi madogo ili kesi ya Lissu iende kumalizwa...as a matter of fact..wewe na majaji wote wa rufaa mnapaswa kujiuzulu in principle...
Mmedhoofisha zaidi mahakama!!! Mmekuwa kama tawi la CCM
Mkuu Mzee Mwanakijiji, kwanza with due respect, naheshimu maoni yako, hata kama sikubaliani nayo, kwasababu, everybody has the right to h/is/er opinion, to me this is too harsh and not fair!Huu ni wendawazimu... kuwa mkuu wa Muhimili usioweza kujisimamia kushindwa kwako kama Jaji Mkuu wa Tanzania...
Hufai
Umeshindwa
Huna weledi