nonsenseHuu ni wendawazimu....umawezaje kuendelea kuwa mkuu wa Muhimili usioweza kujisimamia mbele ya mhimili mwingine? Kesi ya Lissu ni mfano halisi wa kushindwa kwako kama Jaji Mkuu wa Tanzania...
Hufai
Umeshindwa
Huna weledi
Haiwezekani kabisa kushindwa kutoa maamuzi madogo ili kesi ya Lissu iende kumalizwa...as a matter of fact..wewe na majaji wote wa rufaa mnapaswa kujiuzulu in principle...
Mmedhoofisha zaidi mahakama!!! Mmekuwa kama tawi la CCM
Hafiki 2030Mpumbavu ni wewe ambaye unaunga mkono hoja ambayo haina mashiko. Nani kakuambia kujiuzulu kwa Jaji Mkuu ndiyo kutatua matatizo tuliyo nayo?
Nyinyi mligoma kushiriki uchaguzi Oktoba 2025, na bado Samia na CCM wamevuka ma wanatawala hadi 2030, je mumepata nini? Pumbavu zenu
Masaju mkumbuke Bwana wetu wa Mbinguni. Haki inatoka kwake,jaribuni kumwakilisha vyema bila hofu ya mambo ya kidunia. muda wetu duniani ni mfupi mnoKama kuna Taasisi inyaohatarisha amani na ustawi wa Taifa ni Mahakama
Kama kuna Taasisi inayohitaji mageuzi katika Katiba mpya, kwanza, ni Mahakama
CJ haelezwi aingilie kesi au ahukumu, anatuhumiwa kuruhusu 'pering' iendelea akijua
Mkuu Nguruvi3, my concern is I'm just trying being honest and objective on fairness and balance, mtu kateuliwa juzi tuu, leo unataka ajiuzulu kwa issue moja tuu ya a single case ya TL, huku wakuu wengine wa mihimili wamefanya madudu makubwa, mabaya ya ajabu ambayo sio tuu yangewahitaji wajiuzulu, but by now, they should have been behind bars long time ago!, mbona hao wengine tumewanyamazia?!, mbona sikuwahi kusikia wakiambiwa waachie ngazi?!, why only CJ?!, or could be it is cherry picking?, tunaanza na huyu, then little by little tutawafikia na wengine wote?.The buck stops with CJ, ndio msingi wa kusema ajiuzulu kwasababu kama kashindwa ajaribu mwingine mwenye guts
Wamekuwa kama, au ni tawi la CCM halisi?Mmedhoofisha zaidi mahakama!!! Mmekuwa kama tawi la CCM
AmenWamekuwa kama, au ni tawi la CCM halisi?
Tanzania hii kuna kitu ambacho siyo tawi la CCM?
Najuwa wengi wa watu; ikiwa pamoja na mleta mada (kwa bahati mbaya sana) bado wanategemea uwepo wa mabadiliko Tanzania huku CCM ikiendelea kudunda ikiwa katika sura yake ile ile!
.
That will never happen..
"CCM ni lazima ife ili Tanzania ipone"
Huu ni wendawazimu....umawezaje kuendelea kuwa mkuu wa Muhimili usioweza kujisimamia mbele ya mhimili mwingine? Kesi ya Lissu ni mfano halisi wa kushindwa kwako kama Jaji Mkuu wa Tanzania...
Hufai
Umeshindwa
Huna weledi
Haiwezekani kabisa kushindwa kutoa maamuzi madogo ili kesi ya Lissu iende kumalizwa...as a matter of fact..wewe na majaji wote wa rufaa mnapaswa kujiuzulu in principle...
Mmedhoofisha zaidi mahakama!!! Mmekuwa kama tawi la CCM
Interesting observation.Mkuu, kesi ya Tundu ina ' public interest'', Mahakama inajua hilo. Kwasasa everything is revolving and gravitating on Tundu's case. Nani amewatia upofu hawa watu?
Just to be fair mkuu 'Mzee Mwanakijiji'; sote tunajuwa haya yalipoanza kushamiri na kuwa kama yalivyo sasa..Huu ni wendawazimu....umawezaje kuendelea kuwa mkuu wa Muhimili usioweza kujisimamia mbele ya mhimili mwingine? Kesi ya Lissu ni mfano halisi wa kushindwa kwako kama Jaji Mkuu wa Tanzania...
Anajifanya mlokole kumbe wale wale tu!Naunga mkono hoja, japo aliingia kwa mkwara mzito, lakini ni wale wale tu.
Haini ?Huu ni wendawazimu....umawezaje kuendelea kuwa mkuu wa Muhimili usioweza kujisimamia mbele ya mhimili mwingine? Kesi ya Lissu ni mfano halisi wa kushindwa kwako kama Jaji Mkuu wa Tanzania...
Hufai
Umeshindwa
Huna weledi
Haiwezekani kabisa kushindwa kutoa maamuzi madogo ili kesi ya Lissu iende kumalizwa...as a matter of fact..wewe na majaji wote wa rufaa mnapaswa kujiuzulu in principle...
Mmedhoofisha zaidi mahakama!!! Mmekuwa kama tawi la CCM
Hata kwenye uchaguzi mwaka jana manabii koko mlisema hafiki Oktoba 2025. Lakini nini kinaendelea.Hafiki 2030
Kulikuwepo na uchaguzi? hiyo Oktoba?Hata kwenye uchaguzi mwaka jana manabii koko mlisema hafiki Oktoba 2025. Lakini nini kinaendelea.
Fanyeni mambo ya maana achaneni na unabii na kususa. Huwezi kuleta mabadiliko ukiwa nje ya bunge
Hapo una commit logical non sequitur fallacy.Anajifanya mlokole kumbe wale wale tu!
Uchaguzi ulikuwapo na tulipiga kura kasoro nyie wapumbavu ambao ni misulkule ya Tundu ambaye alisema No election No reforms.Kulikuwepo na uchaguzi? hiyo Oktoba?
Samia ni mhalifu, yupo kwenye muda wa kuazima tu kabla ya kuwajibishwa. Muda huo hutaupanga wewe wala yeye.
Samia yumo kwenye hali mbovu zaidi kuliko wakati mwingine wowote; hata kabla ya huo uchafuzi unaouzungumzia wewe.Uchaguzi ulikuwapo na tulipiga kura kasoro nyie wapumbavu ambao ni misulkule ya Tundu ambaye alisema No election No reforms.
Hila zenu zilifeli, jipangeni kwa 2030
Umenikumbusha ule msemo unaosema ili mbegu iote lazima ife kwanza.Wamekuwa kama, au ni tawi la CCM halisi?
Tanzania hii kuna kitu ambacho siyo tawi la CCM?
Najuwa wengi wa watu; ikiwa pamoja na mleta mada (kwa bahati mbaya sana) bado wanategemea uwepo wa mabadiliko Tanzania huku CCM ikiendelea kudunda ikiwa katika sura yake ile ile!
.
That will never happen..
"CCM ni lazima ife ili Tanzania ipone"
Mahakama ya Rufaa kule Dodoma waliposema Chadema ipo huru kuendesha shughuli zake kila msema hovyo alifurahi.Hizi mahakama zimekuwa kama matawi ya CCM. Hovyo kabisa!