Wito: Jaji Mkuu Masaju Achia Ngazi

Hilo ni dua la kuku tu, halimpati mwewe. Nakuhakikishia utaandika hayo maneno humu JF miaka yote 4 iliyo mbele na hakuna litakalompata
 
Ndoto huwa zonaisha ukiamka tu asubuhi, ila wewe una ndoto zisizoisha. Kuna siku nilishauri kama una ndugu wakupeleke Mirembe. Mental case
 
Hilo ni dua la kuku tu, halimpati mwewe. Nakuhakikishia utaandika hayo maneno humu JF miaka yote 4 iliyo mbele na hakuna litakalompata
Samia ni mhalifu; si tofauti na jambazi yeyote.
Na unajuwa matokeo ya uhalifu siku zote ni uwajibishwaji.
Samia atawajibishwa kwa uhalifu wake kwa waTanzania. Hili hawezi kuliepuka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…