Wito: Kamati Kuu ya CCM ifunguliwe Mashitaka Mahakama Kuu kwa Kumteua Mgombea Urais aliyekosa Sifa 2015

Mlishaambiwa nafasi ya kuzikwa karibu ya kaburi lake bado ipo
 
Mlishaambiwa nafasi ya kuzikwa karibu ya kaburi lake bado ipo
mbowe tangu awe mwenyekiti kashindwa hata kujega ofisi ya chadema makao makuu hivi nyie chadema mbowe kawaloga na nini ? yaani anapewa hela anakula tu mnashindwa hata kujenga ukumbi juzi hapa mmefukuzwa kwenye ukumbi arusha lemaa anaanza kuropoka hovyo huko alikoolewa shame on you
 
LA
LAKI SI PESA
 
Utawashitaki na Watanzania wote waliompigia kura Magufuli nao?

Kosa gani la kisheria utafungua mashitaka yako kwa kulitumia?

Chama kumpitisha mgombea asiye na sifa si kosa kisheria.
 
SINOHYDRO Corporation LTD wamepewa zabuni kujenga mradi wa mwendokadi BRT-3 Gongo la Mboto-Kariakoo (23.6km) kwa $148.1M na wamepewa zabuni hiyo bila ushindani (single source), wakati ujenzi wa BRT 2 (Gerezani -Mbagala) 20.3km wamejenga chini ya kiwango. Hawa wachina wameturoga?

Zingatia, huo ni mkopo kutoka benki ya Dunia (WB). Na serikali ya Tanzania imekopeshwa $246.7 million kwa ajili ya ujenzi wa BRT-3 ($148.1 million) na BRT-4 ($99.9 million). Wanazo. Wakati huo DART wametumia $2.46 million to 77 kulipa wakazi kupisha ujenzi wa 23.6km kwa BRT-3

BRT-1 ni 21km ilijengwa na STRABAG international GmbH, Kimara kwenda Kivukoni, Morocco, Gerezani kupitia Ubungo, ulikuwa mkopo wa AfDB na WB na $154M. Lakini sasa BRT-2 na BRT-3 wamepewa SINOHYDRO ambao BRT-2 wamejenga chini ya kiwango na baadhi ya sehemu barabara imeharibika.

Ni kama ambavyo wizara ya fedha ilivyoingia makubaliano na mkandarasi China Civil Engineering construction corporation (CCECC) kwa utaratibu wa single source (zabuni bila ushindani) zabuni yenye thamani ya Shs. 6.7 trilioni kujenga lot Na. 6 ya SGR (Tabora - Kigoma).

Ujenzi huo wa lot Na. 6 kutoka Tabora - Kigoma (411km) jumla ya gharama za ujenzi wake ni US$4.8M (Sh.11.1bn) kwa kila 1 kilometer. Hivyo kwa 411 kilometer mkandarasi atatumia Shs. 4.6 trilioni. zabuni hii hawa CCECC wamepewa pia bila zabuni shindani (single source).

Watu timamu wanahoji, mkandarasi China Civil Engineering construction corporation (CCECC), Mwigulu ametoka naye wapi hadi kupewa kandarasi ya trilioni 4.6 wakati kwa miezi 16 amejenga lot Na. 5 kwa 4.4% pekee? DSM - Mwanza ujenzi wake jumla ni Shs. 14.7 trillion (US$6.4 billion)

China Civil Engineering construction corporation (CCECC) Tabora - Kigoma (411km) amechukua Shs. 6.7 trilioni. Zaidi ya nusu ya fedha zote ambazo zimetengwa kwa ujenzi wa Dar Es Salaam - Mwanza ujenzi wake jumla ni Shs. 14.7 trillion (US$6.4 billion). Ni UJAMBAZI hakuna shaka.

Mkandarasi China Civil Engineering construction corporation alipewa ujenzi wa lot Na. 5, Isaka – Mwanza (249 km). Miezi 16 amejenga 4.4% pekee na HAKUNA hata kipande kimoja cha reli ameweka katika miezi 16. Mwigulu anasema bungeni kwamba haukuwepo ufadhili wa kifedha. Ni utapeli.

Narejea katika hoja yangu ya msingi ya utaratibu wa kutoa zabuni zisizokuwa na ushindani kupitia (single source). Katika hili, TANROADS ndiye procurement entity na ndiyo wanaanda nyaraka za zabuni na kuweka sifa aa muombaji. Kwamba hawajui SINOHYDRO wamekosa sifa? RUSHWA?

Wizara ya fedha ambayo ipo chini ya Mwigulu Nchemba LAZIMA ihusike kuidhinisha matumizi ya fedha za umma. Hili la China Civil Engineering construction corporation lina mfanano sawa na hili la la SINOHYDRO Corporation LTD na wote wamepewa fedha tayari. Kuna harufu mbaya.
 
 
Utawashitaki na Watanzania wote waliompigia kura Magufuli nao?

Kosa gani la kisheria utafungua mashitaka yako kwa kulitumia?

Chama kumpitisha mgombea asiye na sifa si kosa kisheria.
kachanganyikiwa huyo bibi wa kyela
 
 
Huwezi kufunga goli bila kuelekeza mpira golini
Wastage of time.
Huyo mnaejaribu kumchafua hachafuki, huku mitaani watu walimuelewa sana nanyie mnajua sema mnajaribu kujitoa akilitu.

This time mtaungana vizuri na baadhi ya ccm wasio wazalendo kujaribu kumchafua marehemu sababu tayari JD amesha fika bei, lakini mbele ya safari huko dhamira zitawasuta.

Muda utaongea..!
 
Mfano mfuko wa jamii NSSF ulivyo porwa...
Sio tu NSSF,enzi za JK aliruhusu TANAPA itengeneze mfuko wa kuendeleza utalii wakiweka pesa BOT hadi ukafikia Trillion 5.
Kigwangala alipoukwaa uwaziri wa utalii katika hali ya kujipendekeza akamwambia Mjomba Magufuli kuwa eti kuna Trillion 5 zimesinzia BOT,Magu akazipeleka kwenye shughuli nyingine.
Si hiyo kulikuwa na mfuko wa utafiti na kuendeleza zao la korosho zilizo changwa na wakulima wa korosho nadhani millioni 800.
Na hata michango ya tetemeko huko Kagera kuipora na kuipeleka pasipojulikana na sehemu nyingine nyingi zipo pesa zilichukukuliwa kinyume cha taratibu au sheria za nchi.
Sasa kama pesa hizo zilikabidhiwa kwa genge la Sabaya na Bashite unategemea nini?
Kuna wachambuzi wa mambo wanaodai wakati wa Mjomba Magu pesa nyingi ya umma na ya watu binafsi zimeporwa sana katika kiwango cha kutisha.
 
Ulichofanikiwa ni kutuonesha moyo wako wa chuki na kisasi cha kupitiliza!!
 
Hela anapewa na mama yako?
 
Ushaambiwa nafasi ya kuzikwa pembeni yake ipo!!!
 
Naunga mkono hoja
Watu walijua kabisa yule jamaa ni kichaa, wakampa shoka ili amalize watu wakiwamo wao wenyewe.

Hawa ni wa kushtakiwa mahakama ya ICC
 
Fisadi wahed.
 
Kusema mama alienda US kuweka mambo ya kidiplomasia sawa hakuna tofauti na kujitekenya na kucheka mwenyewe.

Mahusiano ya US/EU status yake azijawahi badilika ata pale J.K alipomtimua balozi wa U.K aliyekuwa akiingilia sakata la IPTL, kama taifa huru kila nchi inaweza kubali au kukataa mambo fulani ya kulazimishwa.

Sasa kutokubali kila kitu cha kulazimishwa aina maana ndio kuna haribu diplomatic relations za nchi na nchi; ndio maana kwenye ile article ya NY Times wakaandika apparently moja ya agenda ya ziara yake ni kwenda ku repair diplomatic relations kama ishara ya mshangao kwa mwandishi; ni lini US na Tanzania status za diplomatic relationship zilibadilika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…