Wito: Kampeni ya kum-follow Pompeo

Wito: Kampeni ya kum-follow Pompeo

The Assassin

JF-Expert Member
Joined
Oct 30, 2018
Posts
4,942
Reaction score
20,077
Wale tuliofurahishwa na maamuzi ya Secretary Pompeo naomba tumfollow Twitter, tuvamie Twitter page yake na following za kutosha.

Kama ilivyo kwa watu wa mpira walivyofollow aston villa hadi wazungu wakajua tulivyofurahishwa na usajili wa Samatta kule kwao basi tumfollow Pompeo hadi ajue Watanzania wamefurahishwa na hatua ambazo wamechukua.

Hii itawapa moyo kuendelea kuchukua hatua nyingi zaidi kurejesha Tanzania yetu ya amani, upendo na ushirikiano ambao unaelekea kupotea kutokana na matukio ya kuuana, kutekana, kutupwa baharini nk kutokana na watu kama kina Bashite.

Tumuombe Pompeo amfungie jamaa mmoja anatoa mimacho kama mtu aliekamatwa ugoni.

Unamfollow na kulike ile tweet ya block ya Bashite. Tufikishe likes 15k ajue Watanzania tumeamua na tumefurahishwa sana.
 
Endelea kuamimi mzungu Ni Mungu was pili hapa duniani. Inasikitisha Sana kuwa na mawazo ya Aina yako yaani unadiriki kusema hivyo??
Sent using Jamii Forums mobile app
Aliesema mzungu ni mungu wa pili hapa Duniani ni nani? Kuna mahala umeona nimeandika hivyo? Wewe aliekwambia mimi naamini ni nani? Mungu ndio kitu gani?
 
Ok
tapatalk_1580061002910.gif

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wale tuliofurahishwa na maamuzi ya Secretary Pompeo naomba tumfollow Twitter, tuvamie Twitter page yake na following za kutosha.

Kama ilivyo kwa watu wa mpira walivyofollow aston villa hadi wazungu wakajua tulivyofurahishwa na usajili wa Samatta kule kwao basi tumfollow Pompeo hadi ajue Watanzania wamefurahishwa na hatua ambazo wamechukua.

Hii itawapa moyo kuendelea kuchukua hatua nyingi zaidi kurejesha Tanzania yetu ya amani, upendo na ushirikiano ambao unaelekea kupotea kutokana na matukio ya kuuana, kutekana, kutupwa baharini nk kutokana na watu kama kina Bashite.

Tumuombe Pompeo amfungie jamaa mmoja anatoa mimacho kama mtu aliekamatwa ugoni.

Unamfollow na kulike ile tweet ya block ya Bashite. Tufikishe likes 15k ajue Watanzania tumeamua na tumefurahishwa sana.
Nimefanya toka jana saa 4 usiku.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mnajuua mnachokifanya????..... jibu ni hamjui....MAKONDA amepigwa ban kuingia marekani sababu alikua anapinga mashoga na si vinginevyo..... And that's why amempiga ban tu sababu wao wanatetea mashoga na wanaish nayo na evidence waliyonayo ni makonda kupinga mashoga ....... inamaana great thinker wa jf wengi ni vilaza.........so GT wa jf mnatetea mashoga?...tuache ujinga africans..hata tushoboke vp..Ss kwa mzungu ni nyani tu...mzungu hatokuja kututakia mema....na tuache kufuata mkumbo......kabla hujanijibu make sure una 4 degree.....
 
Back
Top Bottom