WITO: Kocha Miguel Angel Gamondi hatufai tena hivyo ajiuzulu na arudi kwao atuachie Yanga yetu

WITO: Kocha Miguel Angel Gamondi hatufai tena hivyo ajiuzulu na arudi kwao atuachie Yanga yetu

Uzalendo wa Kitanzania

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2020
Posts
3,585
Reaction score
8,106
Wadau hamjamboni nyote?

Kichwa cha habari chahusika.

Mwanachama hai Klabu ya Yanga.

gamond.jpg
 
Familia yake utailisha wewe? Mmekamata muuza matikiti wa Argentina mmemleta wenyewe kumfanya kocha kwahiyo vumilieni
 
Shida ilipo ni kwamba on the basis of common sense.

Jukwaa linakwambia hii mada ilitakiwa kuwa wapi.

Unaweza kuelewa kwanini Magufuli hakuwa na muda huu, wa kurudia vitu ambavyo ni common sense.

Ni vipi hii mada ya michezo ije jukwaa la siasa.

Hizi ndio akili za watanzania.

Long live Magufuli
 
Tulizanaa league bado sanaa tujipange tu na Mwl abadilishe mbinu tu kuwe na options nyingi
Wasiojua soka, timu ikifungwa lawama hutupiwa kocha badala ya wachezaji.

Kwa mechI ya jana, dhidi ya Tabora, mabeki hawakufanya walichotakiwa na Diarra hakuwa makini.

Isitoshe kukosekana kwa Ibra na Job, akaumia Aziz Andabwile, kuliongeza udhaifu safu ya ulinzi, ikabidi Aucho acheze beki wa kati, wakati yeye siyo mzuri kiulinzi bali kuchezesha timu.

Kufungwa jana kumeamsha benchi la ufundi na wachezaji wote
 
Back
Top Bottom