Wito, Kuna Mashindano ya Kombe la diwani huku Tegeta kwa ndevu mshindi anaondoka na bajaji mpya, Tunawaalika Simba sc waandike barua mwisho tar 1

MwananchiOG

JF-Expert Member
Joined
Apr 4, 2023
Posts
1,970
Reaction score
4,037
Huku Tegeta kuna wakali wa kusakata kabumbu kama Msekelo fc, Kindovu fc, WauzaNyama FC, Nafaka sc, Sokoni B SC n.k ambao wote ni mafundi wa kutandaza soka safi.

Hivyo tumeona tuwaalike wenzetu Simba sc waje tushiriki katika michuano hii ili kukiza soka letu kwa pamoja na kuongeza idadi ya vikombe.

Mwisho wa kupokea barua ya washiriki ni tarehe 1/5/2024.
 
Ndiyo maana kuna wakati nasema huu tunaoita utani wa jadi tuufutilie mbali maana watu wamekuwa wajinga wajinga tu na wengine inasababisha mioyo yao inabeba roho za husda, chuki, wivu na takataka zingine.

Morocco wana Kombe la Mfalme. Hakuna ubaya kuwa na mashindano ambayo yanaenzi mfumo wetu wa nchi. Watu wajinga wajinga ndiyo wanaweza kutoa kauli kama hizi za kulibeza.

NB. Kombe la Muungano lipangiwe ratiba maalumu na utaratibu unaoeleweka badala ya kuwa la kushtukiza kama ilivyotokea mwaka huu. Pia zawadi kwa mshindi iwe kubwa zaidi ingawa nimesikia kuanzia mwakani mshindi anaondoka na milioni 100.

Mods Cookie Active futeni huu uzi, hauna tofauti na kuikashfu nchi.
 
Sasa nani kaongolea kombe la Muungano?
Simba wamealikwa kombe la bajaj huko Tegeta
Wewe unahusisha na Muungano
 
Mwenyewe unajiona smart
Wewe usipotoshe

Acha Simba watume barua ya kushiriki japo wapate terrible mwaka huu
Ngao y jamii+ Muungano+ kombe la ulinzi shirikishi Tegeta
 
Hivyo tumeona tuwaalike wenzetu Simba sc waje tushiriki katika michuano hii ili kukiza soka letu kwa pamoja na kuongeza idadi ya vikombe.
UBUNTU BOTHO

1714250133869.png
 
Sasa nani kaongolea kombe la Muungano?
Simba wamealikwa kombe la bajaj huko Tegeta
Wewe unahusisha na Muungano

Wewe usipotoshe

Acha Simba watume barua ya kushiriki japo wapate terrible mwaka huu
Ngao y jamii+ Muungano+ kombe la ulinzi shirikishi Tegeta
Simba ameingia katika mashindano haya akiwa bingwa mtetezi maana mara ya mwsiho mashindano yalipofanyika ndiyo ilikuwa bingwa na mwakani automatically anashiriki tena.

Nyie wengine mlifungua kesi mahakamani kupinga taratibu za mashindano haya na mashindano yamerudi kwa taratibu zilezile. Tuambieni kesi yenu inaendeleaje maana ni zaidi ya miaka 20 sasa?

NB: "terrible" ndiyo ushuzi gani?
 
M50 itasaidia tumatumizi ya hapa na pale. Mwakani suseni tena, sio unalialia mwaka huu halafu mwakani unashiriki, tutajua tu kuwa ULIKUWA WIVU.
 
Simba ameingia katika mashindano haya akiwa bingwa mtetezi maana mara ya mwsiho mashindano yalipofanyika ndiyo ilikuwa bingwa na mwakani automatically anashiriki tena.

Nyie wengine mlifungua kesi mahakamani kupinga taratibu za mashindano haya na mashindano yamerudi kwa taratibu zilezile. Tuambieni kesi yenu inaendeleaje maana ni zaidi ya miaka 20 sasa?

NB: "terrible" ndiyo ushuzi gani?
Basi hongereni Mabingwa wa kombe kubwa Africa
Kombe la Muungano
Simba ni timu kubwa imefanikiwa kutwaa kombe la Muungano

Mangungu atazidi kuwatawala mbumbumbu
 
Kuonea wivu furaha za watu ni dalili mojawapo ya uchawi. Ya Ngoswe mwachie Ngoswe
 
Basi hongereni Mabingwa wa kombe kubwa Africa
Kombe la Muungano
Simba ni timu kubwa imefanikiwa kutwaa kombe la Muungano

Mangungu atazidi kuwatawala mbumbumbu
Mbona km Una hasira hivi? Unazuia furaha ya watu?
Poleeeee!!! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom