MwananchiOG
JF-Expert Member
- Apr 4, 2023
- 1,970
- 4,037
Sasa nani kaongolea kombe la Muungano?Ndiyo maana kuna wakati nasema huu tunaoita utani wa jadi tuufutilie mbali maana watu wamekuwa wajinga wajinga tu na wengine inasababisha mioyo yao inabeba roho za husda, chuki, wivu na takataka zingine.
Morocco wana Kombe la Mfalme. Hakuna ubaya kuwa na mashindano ambayo yanaenzi mfumo wetu wa nchi. Watu wajinga wajinga ndiyo wanaweza kutoa kauli kama hizi za kulibeza.
NB. Kombe la Muungano lipangiwe ratiba maalumu na utaratibu unaoeleweka badala ya kuwa la kushtukiza kama ilivyotokea mwaka huu. Pia zawadi kwa mshindi iwe kubwa zaidi ingawa nimesikia kuanzia mwakani mshindi anaondoka na milioni 100.
Mods Cookie Active futeni huu uzi, hauna tofauti na kuikashfu nchi.
Mwenyewe unajiona smartSasa nani kaongolea kombe la Muungano?
Simba wamealikwa kombe la bajaj huko Tegeta
Wewe unahusisha na Muungano
Acha utoto wewe. Mama wa mtu katoka wapi?Hata ya kucheza na mama ako tualike safi kabisa
😁😁Sasa nani kaongolea kombe la Muungano?
Simba wamealikwa kombe la bajaj huko Tegeta
Wewe unahusisha na Muungano
Sasa nani kaongolea kombe la Muungano?Ndiyo maana kuna wakati nasema huu tunaoita utani wa jadi tuufutilie mbali maana watu wamekuwa wajinga wajinga tu na wengine inasababisha mioyo yao inabeba roho za husda, chuki, wivu na takataka zingine.
Morocco wana Kombe la Mfalme. Hakuna ubaya kuwa na mashindano ambayo yanaenzi mfumo wetu wa nchi. Watu wajinga wajinga ndiyo wanaweza kutoa kauli kama hizi za kulibeza.
NB. Kombe la Muungano lipangiwe ratiba maalumu na utaratibu unaoeleweka badala ya kuwa la kushtukiza kama ilivyotokea mwaka huu. Pia zawadi kwa mshindi iwe kubwa zaidi ingawa nimesikia kuanzia mwakani mshindi anaondoka na milioni 100.
Mods Cookie Active futeni huu uzi, hauna tofauti na kuikashfu nchi.
Wewe usipotosheMwenyewe unajiona smart
UBUNTU BOTHOHivyo tumeona tuwaalike wenzetu Simba sc waje tushiriki katika michuano hii ili kukiza soka letu kwa pamoja na kuongeza idadi ya vikombe.
Simba ameingia katika mashindano haya akiwa bingwa mtetezi maana mara ya mwsiho mashindano yalipofanyika ndiyo ilikuwa bingwa na mwakani automatically anashiriki tena.Sasa nani kaongolea kombe la Muungano?
Simba wamealikwa kombe la bajaj huko Tegeta
Wewe unahusisha na Muungano
Wewe usipotoshe
Acha Simba watume barua ya kushiriki japo wapate terrible mwaka huu
Ngao y jamii+ Muungano+ kombe la ulinzi shirikishi Tegeta
Basi hongereni Mabingwa wa kombe kubwa AfricaSimba ameingia katika mashindano haya akiwa bingwa mtetezi maana mara ya mwsiho mashindano yalipofanyika ndiyo ilikuwa bingwa na mwakani automatically anashiriki tena.
Nyie wengine mlifungua kesi mahakamani kupinga taratibu za mashindano haya na mashindano yamerudi kwa taratibu zilezile. Tuambieni kesi yenu inaendeleaje maana ni zaidi ya miaka 20 sasa?
NB: "terrible" ndiyo ushuzi gani?
Kuonea wivu furaha za watu ni dalili mojawapo ya uchawi. Ya Ngoswe mwachie NgosweBasi hongereni Mabingwa wa kombe kubwa Africa
Kombe la Muungano
Simba ni timu kubwa imefanikiwa kutwaa kombe la Muungano
Mangungu atazidi kuwatawala mbumbumbu
Katoka tegeta kwa ndevu, [emoji23][emoji23][emoji23]Acha utoto wewe. Mama wa mtu katoka wapi?
Mbona km Una hasira hivi? Unazuia furaha ya watu?Basi hongereni Mabingwa wa kombe kubwa Africa
Kombe la Muungano
Simba ni timu kubwa imefanikiwa kutwaa kombe la Muungano
Mangungu atazidi kuwatawala mbumbumbu