WITO kwa Mwenye Mamlaka, wenzetu hao hata uwatendee wema vipi hawanaga shukrani fuata mfano wa mtangulizi wako!

WITO kwa Mwenye Mamlaka, wenzetu hao hata uwatendee wema vipi hawanaga shukrani fuata mfano wa mtangulizi wako!

Uzalendo wa Kitanzania

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2020
Posts
3,585
Reaction score
8,106
Wadau hamjamboni nyote?

Ni ushauri tu kwa mwenye mamlaka kuwa hawa wenzetu hata uwafanyie jambo gani jema hawanaga shukrani

Kwamba wao kila siku ni kulalamika , kudai na kudai, kuzusha na kuzusha yaani hawanaga jema!

Yaani ni watu wasiofaa hata kidogo!

Hivyo Mwenye Mamlaka dawa Yao ni moja tu kudeal nao kama vile mtangulizi wako!

Ni ushauri tu Ndugu zangu kwa mujibu wahaki yangu Kikatiba

Mwenye Mamlaka ndiye Mwenye Mamlaka na atasalia kuwa Mwenye Mamlaka
 
Back
Top Bottom