Natafuta Ajira
JF-Expert Member
- Mar 25, 2020
- 9,016
- 24,650
Mmecheza vizuri, kwa yoyote anaejua mpira atakubaliana na mimi kwamba timu iliyokua bora uwanjani ndio imeshinda. Kuna masuala madogo madogo naamini yatafanyiwa kazi kazi la kwanza kabisa ni usahihi wa kumalizia nafasi zinazopatikana.
Ninachotaka kusema ni kwamba uko tunapoenda wachezaji pambaneni nyie kama nyie. Sisi mashabiki na wananchi wa kawaida ndio tupo tunawaunga mkono unconditionaly.
Wakija watu sijui tupo nyuma yenu mara kuwe na harambee, sijui mama yao unaupiga mwingi achaneni nao watatufelisha hao.
Sisi mashabiki wa soka tunawaaminia nyie maaskali wetu uwanjani.