LENGIO
JF-Expert Member
- Apr 9, 2012
- 1,096
- 508
Vijana mliofeli 2012 kidato 4 msikae mkabweteka kama vijana wengi na wazazi mnavyowaza tume inaweza kuja nahoja mtihani urudiwe au usahishwe upya, kama mnavyojua tume zetu zitachukua muda na kuja namajibu kulaumu walimu wazazi wanafunzi ,Kilichopo kwa wale ambao hawaridhiki kufeli kwao ni kurisiti. Wengi tuu wamepataga zero na wakaristi mambo yakawaendea sawa.Mmoja wapo Nape Nnauye,mtasubiria tume matokea ya muda wa kuristi utakuwa umepita na tume itakuja na matusi dhidi yenu.huo ndio wito wangu kwenu.