Uzalendo wa Kitanzania
JF-Expert Member
- Mar 8, 2020
- 3,585
- 8,106
WITO MAALUMU KWA WATANZANIA WOTE KUFANYA MAOMBI NA DUA KWA AJILI YA RAIS WETU MPENDWA SAMIA SULUHU HASSANI
√Ndugu zangu Watanzania
Nawaomba kuanzia leo tutenge muda wetu mahsusi ili kumuombea Rais wetu mpendwa Mheshimiwa Samia Suluhu Hassani
√Ndugu Watanzania
Mama yetu ni Mcha Mungu, mwenye huruma na upendo, anayeongoza kwa haki na aliyejitolea kuwatumikia Watanzania kwa moyo wake wote
√Ndugu Watanzania
Mama yetu anayo majukumu mazito hivyo bila kujali itikadi zetu tufanye maombi maalumu kwa Mungu ili Amzidishie Afya Njema, Nguvu, Uvumilivu & Ujasiri, Hekima ili azidi kutenda yale yaliyo mema kwa nchi yetu
√Ndugu Watanzania
Kazi ya kuongoza nchi ni ngumu na inahitaji maombi & Dua Maalumu hivyo nawaomba mtenge muda wa siku 3 kuanzia leo Ijumaa ili kumuombea Kiongozi wetu mpendwa
√Ndugu Watanzania
Mungu wetu awabariki wote
Mungu wetu ambariki Rais wetu
KaziIendelee