Ajiuzuru au?Kwa Maslahi mapana ya nchi na utulivu uliopo uendelee japo kwa mbinu, ingawa wote tunajua amani ni matokeo ya HAKI
Wito wangu kwa Rais Mh. Dkt Samia Suluhu Hassan jioni ya tarehe 8 December hutubia nchi mama tuna watoto wazee na wake zetu
Mbona Jacob Zuma aliwah kufanya hivyo akawasuprise wasouth kulegalize bangi??
..rais kwa uchaguzi upi? na amhutubie nani..Kwa Maslahi mapana ya nchi na utulivu uliopo uendelee japo kwa mbinu, ingawa wote tunajua amani ni matokeo ya HAKI
Wito wangu kwa Rais Mh. Dkt Samia Suluhu Hassan jioni ya tarehe 8 December hutubia nchi mama tuna watoto wazee na wake zetu
Mbona Jacob Zuma aliwah kufanya hivyo akawasuprise wasouth kulegalize bangi??
LET THE COUNTRY BURN TO ASHES RATHER THAN BOW TO HOOLIGANS!Mimi naona kitalachoweza kuzuia hasira ni yeye na ccm yote wa-step down
rais wa nyokweee? Hatuna Rais TZ...hao wa sasa ni cartel ya wahuni(Cabal) tu wanaoongoza nchi kibabe ,wao wameingia madarakani kupitia msitu wa NEC.Kwa Maslahi mapana ya nchi na utulivu uliopo uendelee japo kwa mbinu, ingawa wote tunajua amani ni matokeo ya HAKI
Wito wangu kwa Rais Mh. Dkt Samia Suluhu Hassan jioni ya tarehe 8 December hutubia nchi mama tuna watoto wazee na wake zetu
Mbona Jacob Zuma aliwah kufanya hivyo akawasuprise wasouth kulegalize bangi??
LET THE COUNTRY BURN TO ASHES RATHER THAN BOW TO HOOLIGANS!
☠️ LAST CARD, PICK 10!
Hotuba itarudisha maisha ya maelfu waliouawa?Kwa Maslahi mapana ya nchi na utulivu uliopo uendelee japo kwa mbinu, ingawa wote tunajua amani ni matokeo ya HAKI
Wito wangu kwa Rais Mh. Dkt Samia Suluhu Hassan jioni ya tarehe 8 December hutubia nchi mama tuna watoto wazee na wake zetu
Mbona Jacob Zuma aliwah kufanya hivyo akawasuprise wasouth kulegalize bangi??
Mkuu,Kuna kitu hakipo sawa kwa Watanzania naona, kuanzia viongozi hadi wananchi.
Ni kama wapo kwenye Autopilot mode fulani na tuelekea kwenye uharibifu alafu hakuna mtu anae taka ku save situation.
Kitu usicho jua samia ni mtu zaidi ya mmoja hivyo ni lazima ccm yote iondolewe madarakani na majeshi yote yavyunjwe na kuundwa upya chini ya mfumo mpya na viongozi wapya...Kwa Maslahi mapana ya nchi na utulivu uliopo uendelee japo kwa mbinu, ingawa wote tunajua amani ni matokeo ya HAKI
Wito wangu kwa Rais Dkt Samia Suluhu Hassan jioni ya tarehe 8 December hutubia nchi mama tuna watoto wazee na wake zetu
Mbona Jacob Zuma aliwah kufanya hivyo akawasuprise wasouth kulegalize bangi??