PostGE2025 Wito: Rais Hutubia nchi Jioni ya Tarehe 8 Dec

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Hutuba ni moja tu tutakayo isikiliza na kumuelewa akitangaza kujihudhuru. Tofauti na hivyo nakujirisha upepo
 
Kuna kitu hakipo sawa kwa Watanzania naona, kuanzia viongozi hadi wananchi.
Ni kama wapo kwenye Autopilot mode fulani na tuelekea kwenye uharibifu alafu hakuna mtu anae taka ku save situation.
Mkubwa! wewe ulitaka wananchi wafanyeje labda kama unazani tatizo pia lipo kwa wananchi?
 
Mkubwa! wewe ulitaka wananchi wafanyeje labda kama unazani tatizo pia lipo kwa wananchi?
Wananchi wako sahihi kuandamana ila iwe kwa amani. Mipango ya watu kuchoma vitu, au kuua wenzao kisa misimamo ya kisiasa sio sahihi hata kidogo.
 
Wananchi wako sahihi kuandamana ila iwe kwa amani. Mipango ya watu kuchoma vitu, au kuua wenzao kisa misimamo ya kisiasa sio sahihi hata kidogo.
Kwenye mambo kama haya inatakiwa vyombo vya ulinzi ndio vilinde waandamanaji pamaja na mali zao na kuhakikisha hakuna uvunjifu wa amani katika maandamano hayo, je kwenye maandamano hayo vyombo vya ulinzi vilifanya kazi yao?

Jibu ni hapana, sasa ni nani wa kulaumiwa katika situation kama ile?
 
... we don't want croc tears no more!

for the tears you are shedding are but croc tears!

this thing has been going on for as long as since we got our independence and no word was uttered save for when the Babylon monster got, but a bit, scratched!

Time to pin the tail on the Monster hiding behind our tears, and so take it from me and BURN IT DOWN!

 
Kuna kitu hakipo sawa kwa Watanzania naona, kuanzia viongozi hadi wananchi.
Ni kama wapo kwenye Autopilot mode fulani na tuelekea kwenye uharibifu alafu hakuna mtu anae taka ku save situation.
Umeona viburi tunalekea kwenye shimo
 
Sina hakika kama vi Gen-Z vitamsikiliza!
 
Ahutubie kuvunja bunge fake na aachie madaraka arudi kwa zanzibar asirudi tena huku TANGANYIKA nje ya haya ataongea pumba sana aisee..
 
Rais yupi we taahira ,hii nchi shithole ina serikali au kundi LA vibaka wauaji ? ,Shenzi
 
Mwacheni wala msimsemeshe mana anguko lake na wahuni wenzake lipo karibu.
 
Cha msingi tarehe 8/12 uwe umenunua mahitaji muhimu walau ya wiki
 
*** wewe,mtu mwenyewe umekimbia nchi upo kwenye nchi zilizojengwa na wengine, halafu unahamasisha uharibifu ufanyike huku,tumetumiw miaka 15 kujenga nyumba za kuishi,tunadaiwa WB na IMF kujenga miundombinu,we unataka tuharibu kufurahisha nafsi yako tu,ucchi wa mamaako!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…