View attachment 1728963
Tanzania Tanzania nakupenda kwa moyo wote Nchi yangu Tanzania
NaWachunga Ng'ombe walikuwa wagumu kuelewa
Nawasihi hawa viongozi wa kitaifa waache kuzurula bila sababu za msingi ugonjwa huu upo
Kwakipindi hiki cha covid-19, wasaidizi watumike vizuri huko walikoNa
Wala si kuwa ni kwenye kuzurura ndiko unakopatikana.
Bila mabarakoa na social distancing baada ya msiba huu kama si sisi mwingine msiba hauko mbali.
Huo ndiyo ulio ukweli mchungu.
Shughuli za uapishaji zifanyiwe kwa kuzingatia social distancing na Barakoa na kuwalinda Wazee na wastaafu
Tusije tunaendelea kupoteza Wazee.