MWANA WA UFALME
JF-Expert Member
- Sep 10, 2010
- 578
- 144
Ila ni muhimu ili liwe fundisho, maana anaweza kusema hata aliyeingia hatakaa siku mbili etc,Yaani rasilimali za umma zitumike kumkamata mjinga mjinga kama huyo? You cant legislate stupidity. Just let him be
Hivi si kuna mgombea urais anayeitwa Mziray? Labda alichanganya.
YUPO --ppt maendeleo ....dr Peter Mziray
Walitaka kuanza kutuletea mambo yale ya pweza paul, ila tunamshukuru Mungu ameshamwondoa huyu mdudu waliyekuwa wanamtumia.si k2 cha ajabu kwa ma rais wengi waafrika kuaini wanajimu. hata mkwere ni muumini sana wa hayo mambo ya shiriki. ndo mana alitumiwa ulinzi wa majini na hajaanguka tena. pia jamaa haja kamatwa kwa kutishia demokrasia. ikulu ikasema ana haki ya kutoamaoni yake. shida tu hapo ikulu.
Tokeni leo.
huyu mkwere hela imeshaenda hiyo, amejazwa pumba na huyu mganga wa jadi.Leo mnajim ameadhirika kwani uchaguzi ni mbele kwa mbele; anawalia hela hao wajinga wakwere wanaomuamini na majini yake!!