mbingunikwetu
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 13,897
- 18,477
Angalia usikufuru!! Usije ukajiletea laana halafu ukaanza kutafuta mchawi kumbe umejiloga mwenyewe!! Nakushauri tubu na ufute kauli yako!!Hamna haja ya kumuombea huyu bali atumie ule ujasiri wake wa kufufua misukule.
Kauli kwamba Askofu Rashidi anafufua misukule hapo kwenye hilo Godown lenu ndiyo itaniletea laana???Angalia usikufuru!! Usije ukajiletea laana halafu ukaanza kutafuta mchawi kumbe umejiloga mwenyewe!! Nakushauri tubu na ufute kauli yako!!
Mimi ushauri wangu, Bishop Gwajima azidi kuwa na tahadhari ya hali ya juu, akienda kuhojiwa room atakayoingia, kiti atakachokalia, microphone mbungeni anazotumia, awapo barabarani, usafiri wake wa ndege, awapo kwenye hotel za Tanzania, nk nk awe makini sana, Chama cha Chukua Chako Mapema wana umafia wa hali ya juu.Mwili wa Kristo uliopo Tanzania kesho katika umoja wetu tumwombee Askofu Gwajima. Tuombe Mungu ampe ujasiri na hekima ambayo hakuna atakayeweza kuhojiana nayo!...
Gwajima mzinifu, mdaganyifu mkubwa na ana mtumikia shetaniAngalia usikufuru!! Usije ukajiletea laana halafu ukaanza kutafuta mchawi kumbe umejiloga mwenyewe!! Nakushauri tubu na ufute kauli yako!!
Acha wamnyooshe kazidi mno na kaota pembeMimi ushauri wangu, Bishop Gwajima azidi kuwa na tahadhari ya hali ya juu, akienda kuhojiwa room atakayoingia, kiti atakachokalia, microphone mbungeni anazotumia, awapo barabarani, usafiri wake wa ndege, awapo kwenye hotel za Tanzania, nk nk awe makini sana, Chama cha Chukua Chako Mapema wana umafia wa hali ya juu.
Mungu amlinde na kumkinga na nia ovu.
Wana mnyoshaje??Acha wamnyooshe kazidi mno na kaota pembe
Ni kweli maana hata aliyemlisha sumu Mangula yumo ndani ya hiko chama na hajawahi kukamatwa!Mimi ushauri wangu, Bishop Gwajima azidi kuwa na tahadhari ya hali ya juu, akienda kuhojiwa room atakayoingia, kiti atakachokalia, microphone mbungeni anazotumia, awapo barabarani, usafiri wake wa ndege, awapo kwenye hotel za Tanzania, nk nk awe makini sana, Chama cha Chukua Chako Mapema wana umafia wa hali ya juu.
Mungu amlinde na kumkinga na nia ovu.
Hivi Ni kweli Askofu Gwajima huwa anafufua misukule? Ulishawahi kuona msukule yeyote aliyefufuliwa huko kanisani? Ebu lete ushuhuda mpendwa katika Bwana.Ni heri mwisho wa jambo kuliko mwanzo wake. Nawaomba wote tuangalie mwisho wa jambo hili ambao utadhihirisha wazi ni yupi alikuwa katika mapenzi ya Mungu kuhusu Taifa letu na yupi hakuwa sahihi.
Mi siwezi kumuombea mzinzi.Mwili wa Kristo uliopo Tanzania kesho katika umoja wetu tumwombee Askofu Gwajima. Tuombe Mungu ampe ujasiri na hekima ambayo hakuna atakayeweza kuhojiana nayo!! Roho Mtakatifu ahusike mwanzo mwisho!! Ikiwezekana baada ya mahojiano kitokee kitu kitakachowashikisha adabu toka kwa mzee wa siku!!
Askofu tunakuombea kama kanisa la kwanza walivyomwombea Petro alipokuwa amekamatwa na mfalme Herode na kutupwa gerezani!! Hauko peke yako, mwili wa Kristo Tanzania uko pamoja na wewe katika maombi!! Watakaokuhoji wajiandae kupambana na nguvu za Mungu!! Baada ya mahojiano watatamani ku-rewind but it will be too late!!