OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Namsikia hapa akitoa wito wa kuweka tofauti zetu pembeni na kuombeana kimataifa. Kwamba mimi Simba Sc niiombee Yanga itoboe.
Hiyo kwangu haiwezi kutokea, nikitaka kuiombea labda niiombee mabaya.
Lolote baya liwakute huko mnakoenda. Ikiwapendeza mkung'utwe mpaka mchanganyikiwe. Mkishenyetwa mimi ndio napata raha