White drone
JF-Expert Member
- Mar 20, 2023
- 201
- 386
Habarini wana jukwaa, ni asubuhi ya harakati na pilika pilika lakini katika hali ya kushangaza kuna watu wanataka kusababisha siku isiishe vizuri kwao na kwa watumiaji wengine wa barabara.
Dereva wa hii gari asubuhi hii amefanya makosa ambayo kama si kwa umahiri wa dereva wa chombo nilichokuwamo basi ingekuwa maafa.
Wito wangu madereva zingatieni sheria za usalama barabarani ili tumalize siku salama