White drone
JF-Expert Member
- Mar 20, 2023
- 201
- 386
Sawa mkuu kazi njema, kwa sasa uko wapi au ushafika?Nawahi kazini mkuu
Wanaiga misafara ya viongozi na wanajeshi maana wao ndio viongozi wa kuvunja sheriaHabarini wana jukwaa, ni asubuhi ya harakati na pilika pilika lakini katika hali ya kushangaza kuna watu wanataka kusababisha siku isiishe vizuri kwao na kwa watumiaji wengine wa barabara, Dereva wa hii gari asubuhi hii amefanya makosa ambayo kama si kwa umahiri wa dereva wa chombo nilichokuwamo basi ingekuwa maafa.
Wito wangu madereva zingatieni sheria za usalama barabarani ili tumalize siku salama
Alichofanya ni kosa tu la barabarani ambalo lingeweza kusababisha ajali mkuuKafanyaje? Au ujumbe unamuhusu yeye sisi wengine hatupaswi kufahamu yaliyojiri?
Sina jirani mwenye subaru mimi mkuuIsije ikawa jirani yako kakunyima lift maana nyie wabongo
Inabidi wapunguze mawengeHao wazee wa Subaru hawanaga utulivu barabarani.
Ni tatizo mkuuWanaiga misafara ya viongozi na wanajeshi maana wao ndio viongozi wa kuvunja sheria
Wanaamini subaru ndio gari yenye kasi zaidi duniani kama walivyo wazee wa crown na vijana wa altezzaHao wazee wa Subaru hawanaga utulivu barabarani.