alexander paulo
JF-Expert Member
- Dec 21, 2011
- 492
- 155
KabisaWewe utakuwa mtumishi wa Temeke siyo bure, kwa kifupi CCM kumeoza kote kuanzia juu mpk chini ndiyo maana wanajiwekea kinga za kutoshitakiwa.
Jipu Linajazwa Utambi, Mgonjwa AvumilieAcheni unaa mbona huku CCM huku tuna ma-vieite kila ofisi.
Hao madiwani wanajilinda. DED anawezaje kuwalazimisha? Kama ni hivyo basi hawastahili nafasi walizokuwa nazo. Walikuwa na mamlaka ya kukataa na asingewafanya kitu.Huyu DED madiwani wa manispaa ya Temeke wanalalamikia kutumia ubabe kwa walimshutumu kununua magari ya kifahari ya pesa nyingi kwa kutumia ubabe bila kuwashirikisha sawa. Kama haya yana ukweli na hajatumbuliwa hadi sasa, nani anamkingia kifua?
Rais wetu mpendwa JPM tupia jicho lako kali mahali hapa.
Yaani sasa naamini wapinzani walichelewesha maendeleo ya Watanzania. Kumbe haya yote ni wapinzani walikuwa wana sababisha.. Kweli Ccm imeoza. Tuombe Mungu tutoke hapa..Kupitia vyombo vya habari kwa siku za hivi karibuni tumeona Mh Jafo akimsimamisha Mkurugenzi wa Geita kupisha uchunguzi na pia ametoa maelekezo kama hayo kwa Halmashauri ya Mpanda...
ExactlyJafo sinawahi kumuamini zaidi anabebwabebwa tu, yeye yake ni kutembea na kamera na kutishatisha wakuu wa Idara ila hana vision wala mission ya ku accomplish kabisa, kwanza hajiamini na bahati mbaya Mwazir ama nisema viongozi wengi wanaona kufokafoka ndio uongozi