Red Scorpion
JF-Expert Member
- Feb 1, 2012
- 5,736
- 4,252
Mfungwa mmoja alifanikiwa kutoroka jela baada ya miaka kumi na mbili... akapenyapenya mitaani hadi akafika nyumbani. Mkewe akafungua mlango...kitu cha kwanza kumuuliza.. "kwenye TV wametangaza umetoroka kutoka asubuhi saa hii ni jioni utanieleaza huo muda wote ulikuwa wapi?.... Jamaa aliamua kurudi jela...![emoji124][emoji124][emoji124][emoji36]
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app