WIVU: Maana, faida na hasara zake

hehehhe but mpenzi wangu lazima nikujue ulikuwa wapi,kwahiyo kwanini,wapi,unafanya nini ni ngumu kuepuka
 
ukiziacha ndo atakuona ***** na kujiachia,siku ingine jamaa analetwa ndani kitandani mwako
 
Jamani Excel, mbona mi najitahidi sana muda wote ujisikie ni mwenye fahari kuwa na mimi?
basi acha kusave majina ya nahau kwenye simu yako ili simu ikipigwa nijue nani kapiga,si unajua mapenzi yanaumiza jamani
 
hehehhe but mpenzi wangu lazima nikujue ulikuwa wapi,kwahiyo kwanini,wapi,unafanya nini ni ngumu kuepuka

Ni muhimu kulinda heshima yako na una haki ya kuuliza ila maana iko hapa unajua alikuwa kazini maswali yanini labda tu kama alitoka ama alizidisha muda kuliko kawaida na bila taarifa, kila simu unataka nawe usikilize unasogeza sikio lako, au unapokea kama yuko mbali mpelekee, mpe uhuru usio wa ngamia.
 
basi acha kusave majina ya nahau kwenye simu yako ili simu ikipigwa nijue nani kapiga,si unajua mapenzi yanaumiza jamani

Sasa hapo utanieleza huyo anayesave nahau, maana mi nasave full name ya mhusika.
 
hehehehe asubuhi nakupeleka na gari kazini halafu na mimi naenda kazini kwangu na jioni nakuja kukuchukua,
kwahiyo lazima tuwasiliane
 
Sasa hapo utanieleza huyo anayesave nahau, maana mi nasave full name ya mhusika.
hata ungesave full name inaweza zikawa sio majina halini,ila ukaribu wako na mimi ndo nitajua mwenendo wako na mimi
 
Naomba ujiamini mpenzi wangu nakupenda na unajua hilo siku zote utakuwa maalum kwangu.
 
Naomba ujiamini mpenzi wangu nakupenda na unajua hilo siku zote utakuwa maalum kwangu.
Mpenzi mi nakuamini sana na ninakupenda sana,ila epuka mazingira ya kunisababishia wivu
 
Sawa baby itabidi tukifika home useme niache kipi kupendeza, kutabasamu, au?
nitakuambia mpenzi wangu,mbona ukinikinga na wivu tu nitakufikisha kwenye ulimwengu ambao hujawahi kuona
 
wivu ni dalili ya kutokujiamini kwa hiyo ili kuundoa hakikisha unashughulika vizuri kitandani hadi umridhishe mwenzio
 
wivu ni dalili ya kutokujiamini kwa hiyo ili kuundoa hakikisha unashughulika vizuri kitandani hadi umridhishe mwenzio
daaah hiyo unaniingiza chaka live
 
Kwa miaka ya sasa usaliti katika ndoa ni kukaribisha mauti kwa mwenzi wako.
Yehova Mungu uwaepushe na hali hii watumishi wako.
 
Wivu ni kitu cha thamani kubwa sana.. ukikosa kuwa na wivu,, utakuwa umepungukiwa na upendo. bila wivu huwezi kujitahidi kuwashinda wenzako wivu ndiyo sababu kubwa ya maendeleo na mafanikio katika kila jambo.. hata wanyama na ngege pia wadudu wana wivu.. wewe binadamu mwenye utashi ukose wivu itakuwaje.,,.

jitahidi kuvumilia sana.. akisema mtu kuwa yeye hana wivu ni muongo.. bali anaweza kusema ni mvumilivu sana...
 
........sure
 
Kwa miaka ya sasa usaliti katika ndoa ni kukaribisha mauti kwa mwenzi wako.
Yehova Mungu uwaepushe na hali hii watumishi wako.
hiyo ni kweli,sasa hivi magonjwa yapo mengi
 
Mi nafikiri wivu ni kama reaction anayoionesha mtu kutokana na kutofurahishwa jambo fulani. Kama huna wivu hata kidogo huyo mtu kweli humpendi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…