Wivu sio Afrika pekee

Mnyiramba

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2022
Posts
1,141
Reaction score
3,119
Kuna ile kasumba kwamba watu weusi hawapendi maendeleo ya wengine, mara ooh Wazungu watu poa sana!
Ukweli ni kwamba wivu na figisu ni kwa binadamu wote bila kujali rangi wala kabila!

Ukifuatilia mahojiano na Cristiano Ronaldo leo utajifunza mengi sana uone wazungu pia wana husuda kwa kwenda mbele!
 
Ronaldo ameonyesha wazi leo ana wivu mkubwa sana Kwa Lionel Messi, mafanikio ya Messi ndo yanampa depression kubwa sana , ila tusisahau pia ile ishu ya kufiwa na mwanaye imetingisha sana saikolojia yake.

Lengo la uzi ni kuondoa ile dhana potofu kwamba wivu ni kwa watu weusi tu
 
Christian Ronaldo on United:–

I feel betrayed by man United,

"Manchester United tried to force me out.
not only the manager , but also the other guys who are around the club. I felt betrayed "

I feel that some people didn't want me at Manchester United, not only this year but last season too.

I don't have respect for Eric ten hag because he doesn't show respect for me it's simple.

While Ronaldo rejected Manchester city offer for Manchester United he deserves some respect.
 
Mtu ana watoto kibao,tena mtoto alokufa ni mchanga katika mapacha walozaliwa kakafa kakichanga kamoja,kengine kamebaki. Halafu asikae sawa kiakili miezi yote hiyo?
Ronaldo ameonyesha wazi leo ana wivu mkubwa sana Kwa Lionel Messi, mafanikio ya Messi ndo yanampa depression kubwa sana , ila tusisahau pia ile ishu ya kufiwa na mwanaye imetingisha sana saikolojia yake.
 
Ronaldo ameonyesha wazi leo ana wivu mkubwa sana Kwa Lionel Messi, mafanikio ya Messi ndo yanampa depression kubwa sana , ila tusisahau pia ile ishu ya kufiwa na mwanaye imetingisha sana saikolojia yake.
Mkuu mbona kama nakosa uhusiano Kati ya mahojiano ya Ronaldo na wivu Kwa Messi?

Au me ndio nimepitwa, kasema nini kwani kuhusu La Pulga?
 
Watu wan mihemuko kila kitu wanachukulia kwa hisia
Labda yeye kamsikia Ronaldo anaongea maneno ya wivu Kwa Messi ndomana me kabla sjiambishia nimemuomba anijuze namie

Maana naweza kupinga alafu kumbe kweli jamaa ameongea, kwahiyo nipo nasubiri jamaa anijuze namie
 
Hakuna wabaya kama wazungu na hata ukatili wa waafrika ulikuzwa na unakuzwa sana wazungu.
 
Ila wareno wengi wana Iq ndogo kama wazungu wa Ulaya Mashariki.
 
Nadhan neno zuri ni husda,wivu ni ktk jambo zuri bwashee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…