Wivu wa Baba na Mama!



Kwa kawaida si wivu bali ni kulinda msichana au mvulana na tabia ambazo muhusika mwenyewe anazielewa huenda yeye mwenyewe ameshazipitia.
Angalia mzazi huwa rafiki mkubwa wa mkwewe pale anapomkubali.
Utaamini huwa nawaambia mabinti wangu kuwa hakuna uhusiano wa mwanamme na mwanamke nje ya ndowa isipokuwa ni uharibifu lakini mimi mwenyewe huko nyuma nilikwishadai uhusiano wa namna hiyo kwa wasichana kibao.
 
Hahahaha...si hivyo mkuu wa TDL...

Ishu ni kwamba aje kwa nidhamu. Siyo eti kudadadeki kaja na msuruwale wake kafungia kwenye mas.aburi sijui kasuka nywele na kutoga masikio anabisha hodi eti analeta posa kwa Matesha wangu.

Pambaf zake!!

Ngoja hao masharobalo wakupigie mimba Matesha ulee wajukuu vizuri
 
ila wababa wengine wanaleta mikwara miiiiiingi lengo lao wapate mahari kubwa, kuna jamaa alileta mpaka ugomvi ndani mwisho akataka mahari 3,000,000 baada ya ndugu kumzomea na binti kubeba mimba akaishia kupokea 200,000...

kwa hiyo mengine ni mikwara tu hakuna cha wivu wala nini...
 
Mkuu,
Ukila Mahari ya mtu unategemea nini?..Thats the PRICE of accepting the bride Price!...kuwa mpole na utulize jazba, vinginevyo utaanguka kwa presha!
Mkuu
kula mahari yako sio sababu ya kunifedhesha mbele ya kadamnasi, vigezo na masharti kuzingatiwa.Kama mie na mama yako hatujakulea katika mazingira hayo unayotuonyesha ww umeyatolea wapi..?
Kwanza kama vimahali vyenyewe naweza kukurudishia, mbona powa tu.....!

 
Ishu ni kwamba aje kwa nidhamu. Siyo eti kudadadeki kaja na msuruwale wake kafungia kwenye mas.aburi sijui kasuka nywele na kutoga masikio anabisha hodi eti analeta posa kwa Matesha wangu.

Pambaf zake!!
Babu hapo mbavu zangu.....!
Alafu anakuja huku anaimba....!

Yo..! Yo...!Yo...!
mie ni mwamba, nimetoka kijanja
nakula ganja, mirungi pia inapanda
baba mkwe msha...........!!!!!!!!!

Mara anakuona anazuga kuimba mapambio ya kanisani, sijui kaswida za msikitini...!
babu unalo hilo...! ndio mwanao kashakolea hapo.

 
Mkuu!
Nimegundua sasa kuwa akina baba na akina mama wana tofauti katika wivu wao:

AKINA BABA:
1.Kuhofia mabinti wao kukunjwakunjwa kama wao wanavyowafanya mabinti wa wengine.
2. Kupiga mkwara ili wapate mahari kubwa
3. Kuona hasira kwa jinsi walivyowasomesha watoto kwa gharama
4.Too mucha Protectionism...kwamba mtoto wake huenda hatapata mahitaji kama ya pale nyumbani.
5.Wivu tu, kuwa jamaa atamfaidi sana huyu binti yangu.

B.AKINA MAMA
1.Kuhofia kukosa zawadi za kijana wao
2.Kuhofia mabinti kuwacontrol vijana wao
3.Kuwaonea wivu mabinti kwa urembo walio nao
4."Nimemlea mtoto toka utotoni, yeye anamkuta sasa hivi, eti anampenda"
5. Atafaidi sana vitu/fedha vya mwanangu wa kiume(kama jamaa ana uwezo)

Aisee!
Sababu hizi zote ni nyeti sana, na really zipo!
 
Acha mambo ya kizee weweeeeee!
Siku hizi kuna mitandao, unataka binti akae kikondoo-kondoo kama zamani we wa wapi wewe?
Enzi za dotcom hizi broda!..ni lazima tukubali kwenda na wakati, hata wakilambana macho waache ili mradi mi mzigo nimetua, sidaiwi tena hela ya sandals, au kitambaa cha viscous...huh!
 
Hii ilitokea kwangu kama mara 2, kwanza Baba alisema mwanaume huyu mfupi ataharibu mbegu yangu, wa pili hakuwa na tatizo ila alisema binti yangu bado mdogo atateswa huko. Huwa ni mitizamo tu ya wazee.
 
ni kweli na ni kawaida tu mbona!baba,kaka,wajomba na ndugu wa kiume huwa wagumu kidogo kwa kuhofia walivyowachezea wanawake wengine huenda sasa ni zamu ya binti yao!lol!

mama,dada na ndugu wengine wa kike huwa na gubu kwa vile wanajua kabisa ile misaada ya hapa na pale ndio inakata!mwanaume akioa misaada home anakata kuliko maelezo tofauti na wanawake!
 
mshenga pakajimmy!hebu recommend jina langu uko kwa kamati nije kupiga kazi nikamate mshiko!Huduma zote za harusi zinapatikana kutoka kwa kampuni yangu THE FUNCTION HOUSE!
 

PJ heshima kwako mkuu.

Ni kweli akina baba huwa wagumu kutoa maamuzi kuruhusu binti zao waolewe kwa sababu kuu kama mbili;
1.0 Kujiridhisha kama muoaji ni mtu muadilifu ambaye hawaweza kuleta mgogoro na familia yake.
2.0 Pia, kwa akina baba kama amemgharamia sana huyo binti mpaka akafika mahali anajiweza kwa kiasi fulani huona uchungu hasa ikiwa muoaji hayupo vizuri. Kuna nadharia kama huyo muaaji kajileta kwa sababu tu kaona binti yupo vizuri.

Kwa mtazamo wangu ni hayo.
 
Na wanasema marufuku mama mkwe kuja kuja nyumbani hapa kama unamatatizo yatatuliwa huko huko
Mabinti wakiolewa wengi wanabadilika sana tofauti na wanaume wakioa

Bora hata mabinti huwa hawasahau walikotoka
Wanamme wanahamia kutunza ukweni tu
Kwa nini roho isiume kwa mama mzazi?
Zamani ulikuwa unapigwa na wax, saa hivi hata vocha hakuna lol

Thanks Kongosho kwa kufatilia kwenye grassroot!
Off-records, hiyo Namba 4 huenda ilimwogopesha zaidi mzee!

Ha ha ha ha, hiyo hakuwa saana
Mzaa alikuwa mkware akaone 'hivi jamaa linaenda kumtenda kama ninavyowatenda?'

This is a matter more serious than tunavyofikiri!
Hivi kuna anaejua kutokuelewana kati ya binti na Mama mkwe wake kuna asili gani?
Basi hii ya Kongosho ndiyo chanzo kikuu!...actually hakuna sababu maalum, ni imaginations na wivu tu!
Haswaaa, wivu tu
Ndo maana waswahili husema 'una wivu wa kike'
ndo huu, hauna sababu. Ile kuhisi tu unapoteza power kwa mtoto wako mwenyewe, inauma kiasi chake


Wanao walivyo wakware nani atawaruhusu waisogelee nyumba ya ODM?

Hivi unajua wakware wengi huwa na darasani zinachemka.
Ni mkware mmoja tu ndo ana nazi, wengine wengi wanashusha macalculus tu.
 
Hii ilitokea kwangu kama mara 2, kwanza Baba alisema mwanaume huyu mfupi ataharibu mbegu yangu, wa pili hakuwa na tatizo ila alisema binti yangu bado mdogo atateswa huko. Huwa ni mitizamo tu ya wazee.
Sasa dadaangu, suala la kuharibu mbegu linaingiaje , wakati familia inayoenda kuanzishwa ni ya watu wengine, na hapaswi kuiingilia, ili mradi kama wao wamependana?
Na hilo suala la mdogo sana, je ilikuwaje wewe hadi ukamwambia mchumba aje kwenu na hali ukijua bado u mdogo?
 
Ngoja hao masharobalo wakupigie mimba Matesha ulee wajukuu vizuri

Nyie vijana wawili, hebu temeni mate chini Mungu apitishe mbali.

God forbid!
 
Mkuu,
Ni kitu cha ajabu sana!...We mkuu chukulia we una binti akamleta chalii nyumbani, vipi utakuwa Normal au mkuu utalianzisha?

Kwanza nitaangalia ni dizaini gani ya jamaa amemleta..............then nitajua nini cha kufanya.
 
Broda Losambo,
Hakika sababu zako ni za msingi na very paramount.
Nakubali wazazi wana jukumu kubwa kabisa la kujiridhisha kuwa binti yao anaangukia katika mikono salama, shida ni pale ambapo sababu hizi zote zinakuwa zimekidhiwa na upande mwingine vyema kabisa, lakini bado baba anakuwa na mizengwe!
 
Nyie vijana wawili, hebu temeni mate chini Mungu apitishe mbali.

God forbid!

Uzuri binti akipigwa mimba hata thamani inashuka kama alikuwa na thamani ya 1m mahari inashuka mpaka 150,00/= hii kwa mujibu wa uzoefu wangu mi nikija kumuoa Matesha unaleta za kuleta napiga mimba kisha nakuja kulipa uchafuzi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…