Wivu wa kimapenzi watajwa kumng’oa msanii MJ Records, Nay wa Mitego ahusishwa

Miss Zomboko

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2014
Posts
4,599
Reaction score
9,532
Producer Daxo Chali ambaye anafanya kazi zake katika studio za MJ Records hapo juzi alitangaza kuacha kumsimami msanii Nini kupitia studio hiyo, lakini stori za sasa zinadai chanzo cha hilo ni wivu wa kimapenzi.

Daxo Chali alikuwa akiwasimamia Haitham na Nini ambaye inadaiwa kuwekwa pembeni. Hiyo juzi kupitia ukurasa wake wa Instagrama Daxo chali aliweka wazi hilo kwa kuandika;

"Nimeamua Kuacha Kuwasimamia , Juhudi Zangu Zimewafikisha Hapo. So Yeyote Atakayeweza Kuwaendeleza Please Awasaidie. Nitafurahi Nikiona Wanaendelea Nakufanikiwa , Ni Wasanii Wazuri Sana Wakipata Mtu Akawapatia KuwaPanga. Mapungufu Yapo Kwa Kila Mtu"


Muimbaji Haitham akizungumza na E-Newz ya EATV amesema chanzo cha hayo yote ni katika mtandao wa Instagram ambapo Daxo Chali anamiliki akaunti za wote wawili na kuangalia nini kinaendelea na alipokuta Nini anachati na fulani ambaye inadaiwa kuwa ni boyfriend wake, Daxo hakuridhika na mazungumzo hayo ndipo alipochukua uamuzi huo.

“Wakati Nini anachati na Boyfriend wake nafikiri Daxo aliona, siwezi kufahamu walikuwa wanachati nini au ulikuwaje lakini tu after hours Nini ananipigia simu ananiambia Kim page yangu imebadilishwa password, so yeye hakumuuliza chochote Daxo” amesema Haitham.


“Baada ya muda akaona kwenye bio zile detail za kumthibitishia yeye ni msanii wa MJ Records zimefutwa, baadaye Daxo ananitumia sms kuwa Nini siyo msanii wangu, nilipoulizwa akiniambia mahusiano ya Nini na Nay wa Mitego yanaharibu CV ya studio, Aseme ni nini anachokita lakini kusema ni mahusiano, no!, kwa sababu kila mtu ana haki ya kupenda” ameongeza.

Kwa upande wake Nay amesema jambo hilo halina ukweli wowote na kueleza kuwa jambo hilo haliingi akilini na inadhihirisha upuuzi uliopitiliza

“Sijalipenda kwa sababu nimehusihwa kwenye vitu ambavyo si vya msingi, unamhusisha mtu ambaye atafanya wewe uonekane ni mpuuzi. Nitoe tu ushauri kwa brother Master Jay aangalie MJ Records ni label kubwa kumkabidhi mtoto na kuanza kufanya ujinga, inachafua na inatia doa” amesema.


Nini na Haitham



Bongo 5
 
Wimbi hili la wasanii wakike kudate date kama try and error method nadhani kuna muda ufike wajitambue.
Utakuta msanii wa kike unatoka kimahusiano na wasanii wenye majina makubwa..
Huku uliyekuwa nae mwaka jana ulishaachana naye leo upo na mwingine bahati nzuri au mbaya wote umewapa tunda aisee nyie wakina dada jiheshimuni hata kidogo basi...
 
dah dogo huyo nini nmesoma nae seco ***** kalikuwa kadogo sana yani npo form 4 kenyewe 2,siku nlipoona ney anakapromote kwenye a/c yake nkajua tu lazma atakuwa amekafumua marinda na kweli
 
dah dogo huyo nini nmesoma nae seco ***** kalikuwa kadogo sana yani npo form 4 kenyewe 2,siku nlipoona ney anakapromote kwenye a/c yake nkajua tu lazma atakuwa amekafumua marinda na kweli
Shule gani
 
Mm namjua kama Marko Chali!
Au siku hizi anatumia jina la Daxo?
 
dah dogo huyo nini nmesoma nae seco ***** kalikuwa kadogo sana yani npo form 4 kenyewe 2,siku nlipoona ney anakapromote kwenye a/c yake nkajua tu lazma atakuwa amekafumua marinda na kweli
Ni kapi ktk hiyo picha?
 
Hapo ni waz kwamba bwana daxo aliuzimia mzigo ila akawa domo zege anasubiri huyo nn azisome hisia zake kwa vitendo,ikamuuma alipogundua ney anajilia Tako tartiibu Bila kuchelewa
 
Yote kwa Yote cha kufanya nayeye angeomba atunukiwe kwa Muda wake mbona watoto WA siku hz hawana noma
 
Daxo ni mdogo wake marko kama sijakosea, ila hao hao sijui nini ni wasanii wa bongo au[emoji41]
Marko Chali ni Producer wa MJ Record, ndo Producer anae run MJ Studio...baada ya MJ kujiondoa kwenye kazi za kila siku za Studio.
 
ney anajitetea tuu ila kamtia mimba kile kitoto
yule na mimba ake anakua mzigo kwe lebo maana hataweza kuzalisha pesa...
alee mimba ajifungue anyonyeshe uo mda lebo inatenezaje faida?
kawatia wenziwe hasara ukzingatia ndo kwanza alkua anatambulishwa kwe tasnia na nyimbo yenyewe1 tuu!!!!
hawaoni wenzao akna queen B au minaj na nk.. sio kama awapendi kuzaa ila wanatengeneza ela Kwanza

haitham anaskendo zake mbovu mbovu tuu chini ya kapet pia hana adabu yani ni sawa na nick minaj atimliwe ymcmb af amtukane wizzy watu watamshangaaaa

daxo ajakurupuka sabab ye nae ni mwajiriwa pale

nawatabiria mwisho mbaya MJ wanajielewa sana tofaut na lebo nyingine apa bongo

ila wameniuzi sabab nlkua shabiki yao

good luck huko waendako
 
Huyo Haitham ameshaacha kuuza K siku hizi?! Maana nakumbuka enzi zake alikua anauza papa chini ya usimamizi wa Gigy money
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…