Profesa ntare nkobe JF-Expert Member Joined Feb 5, 2018 Posts 6,955 Reaction score 8,120 Aug 12, 2021 #1 Hali imekuwa mbaya ukiachana magonjwa tuliyo nayo kuuwa wapendwa wetu kwa wivu wa mapenzi nao una ua sana. Baadhi wamekuwa walemavu, kuna haja ya serikali kutoa elimu kwa nguvu zote angalau kupunguza haya madhara.
Hali imekuwa mbaya ukiachana magonjwa tuliyo nayo kuuwa wapendwa wetu kwa wivu wa mapenzi nao una ua sana. Baadhi wamekuwa walemavu, kuna haja ya serikali kutoa elimu kwa nguvu zote angalau kupunguza haya madhara.
STRUGGLE MAN JF-Expert Member Joined May 31, 2018 Posts 8,633 Reaction score 16,586 Aug 12, 2021 #2 Katiba mpya itaweza kutatua hilo jambo maana maisha yatakua na uafadhali watu hawatochepuka kirahisi
Zuleykha JF-Expert Member Joined May 20, 2016 Posts 1,247 Reaction score 1,815 Aug 12, 2021 #3 Wivu wa mapenzi ni kutokujiamini.