Ubungoubungo
JF-Expert Member
- Jul 28, 2008
- 2,502
- 741
kwanza aende akapime. kuchukuana hovyohovyo na kuwekana ndani kienyeji hivyo ni ushetani, umekosa nini hadi ukajirahisi kiasi icho? hivi wanaume wa kukuoa kwa ndoa wakakuweka ndani kwa heshima zote wameisha duniani? au unataka chaguachagua, atu onjaonja, utaonjaonja baadaye utaonja ukimwi na badala ya kufurahia maisha utafurahia kaburi. hivi wanawake wengine ni wa ajabu sana, unakuta meseji za wanawake wenzio, na bado tu unamvulia..., hivi hata hofu ya kufa tu hauna, hivi haujui kuwa tz kuna kaswende, gono na ukimwi? zaidi ya hayo, Mungu anakuona ati, hata ukiwa sirini, ukiwa hauoni aibu mbele za watu basi mwonee aibu hata Mungu tu.
Nakuonea huruma kwasababu sijui uko katika mazingira gani, sijui umri wako pengine umetafuta wa kukuoa umekuwa haupati kwasababu haujamshirikisha Mungu vyema na kwa njia inayofaa, umri ndo unaenda, lakini ndo uende kichwakichwa hivyo? hivi haujui kwenye mapenzi kuna kifo? je, hao wanawake anaowasiliana nao haujui kuwa kama wakimpenda huyo jamaa wanaweza kukuua au kukuendea hata kwa mganga wewe, uwe kilema au hata ufe ili wao waolewe naye? haujui kuwa ukiwa kweney mazingira kama hayo uko kwenye hatari kubwa sana? nakushauri kitu kimoja tu, NA UTANIKUMBUKA, NENDA KAOKOKE, MPOKEE BWANA YESU AWE BWANA NA MWOKOZI WA MAISHA YAKO, ATAKUJIBU MAMBO YAKO. HATA KAMA HAUAMINI, hata kama unaonaga walokole ni watu wa kulia lia tu, wewe nenda kajaribu tu hata kujaribu. Mungu anasema onjeni muone ya kuwa Bwana yu mwema, KAMA HAUAMINI BASI ONJA HATA KIDOGO TU UONE YA KUWA BWANA YU MWEMA KWAO WANAOMPOKEA, Heri mtu yule anayemtumaini Bwana.
atakuwa kama mti uliopandwa kandokando ya kijito cha maji uzaao matunda kwa wakati wake, na kila alitendalo litafanikiwa. kama vile milima iuzungukavyo Yerusalem ndivyo Bwana anavyowazunguka wale wamchao, NAKUHAKIKISHIA, ASILIMIA MIA MOJA, NENDA KAOKOKE, INGIA KWENYE NDOA TAKATIFU, SI NDOA CHAFUCHAFU, UTAMWONA BWANA, lakini kama ukidharau haya ninayokwambia, NAKUHAKIKISHIA KUNA SIKU UTAJUTA NA UTAYAKUMBUKA HAYA MANENO. tumeona wengi, tumeshauri wengi, tumeona wengi wanajuta wanatamani muda wa nyuma urudi walau hata siku moja watengeneze maisha yao upya, lakini they have been too late, INGIA ZIZINI, INGIA UKUMBINI KABLA BWANA HARUSI HAJAFUNGA MLANGO, INGIA KWENYE SAFINA KABLA GARIKA HAIJAKUFIKIA, kwasababu ukijakupiga kelele wakati garika imeshafika, utakuwa umeshachelewa, maji yakimwagika hayazoleki. Kuishi ni Kristo, kufa ni faida, kama hauishi ktk Kristo kufa ni hasara, haujui utakufa lini, pengine ni kwa ajali ya gari kesho, pengine ni kwa kupiga chafya tuu, pengine wamekuwekea hirizi kwenye kiti chako pale ofisini, haujui, ni bora kutengeneza mambo kabla.
SI AJABU MUNGU AMEACHA MAKUSUDI HUYO JAMAA AKUDUNDE ILI PENGINE UTAMKUMBUKA YEYE MUNGU SIKU MOJA, UKAACHA NJIA MBAYA, neno la Mungu linasema, dhambi zetu zijapokuwa nyekundu, zitakuwa nyeupe kama theluji, mtu mbaya na aiache njia yake mbaya, mtu asiyehaki aache mawazo yake na amrudia Mungu naye atamrehemu, na arudi kwa Mungu wake naye atamsamehe kabisa....HAPO ULIPO, UKIMRUDIA MUNGU, ATAFUTA NA KUYASAHAU YOOOTE ULIYOWAHI KUYAFANYA, UTAKUWA KIUMBE KIPYA, NA MUNGU ATAKUSAIDIA NA KUKULINDA KATIKA KILA JAMBO UNALOLIFANYA. UAMUZI NI WAKO, NINAKUPENDA KATIKA JINA LA YESU. Haleluya to the Lamb of God.