PakiJinja
JF-Expert Member
- Jan 16, 2012
- 11,689
- 25,848
Dunia ilimsikia Magufuli akimuahidi Lissu Cheo, akawaomba hadi wazee wa Singida waongee na kijana wao.
Leo Mwenda zake ameenda zake, hatukumsikia Lissu akiirudia kauli ile ya Magufuli ili kuchuMbowe credits
Badala yake leo Mbowe ndiye amejivalisha uhusika wa Tundu Lissu, anatembea na story ile kwamba aliambiwa akikubali kuhamia CCM atapewa cheo chochote kile atakachotaka.
Katika matukio haya ambayo hatukumsikia Magufuli akiyaongea au kama mliyaongea sirini, na haukuweza kuyaongea kipindi kile, nakushauri Mbowe ungemuacha Magufuli apumzike. Hawezi kuamka kututhibitishia kama ilikuwa ni kweli ama laah. Huna hadhi ya kujivalisha ujasiri huo. Akingea Tundu Lissu ni sawa, lakini siyo wewe.