Wivu wa Wassira kwa Warioba hadi kwenye Katiba Mpya. Wapinzani hatumaanishi Katiba ni mali ya Mzee Warioba

Muuza Kangala

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2021
Posts
1,242
Reaction score
4,813
WanaCCM wana matatizo sana, Mzee Wasira akihojiwa TBC amesema haya...

''Wapinzani wanasema wanataka katiba ya Warioba, Warioba hana katiba, kazi yake ilikuwa ni kukusanya maoni na sheria ya mabadiliko ya katiba ya wakati ule inasema baada ya maoni kukusanywa yanafikishwa katika Bunge maalum na ndio litakaloandika katiba pendekezwa''

Your browser is not able to display this video.
 
Wakati ccm walichakachua maoni ya tume ya maoni ya warioba na wakachomekeamo yakwako ili kujilindia maslahi yao🚶
 
Aliyekuwa mbunge wa Bunge la Katiba mzee Wassira amesema Madai yote ya Chadema kuhusu Katiba yamo kwenye Katiba Pendekezwa.

Mzee Wassira amewataka wana Chadema kuisoma wenyewe Katiba Pendekezwa badala ya kusubiri kusimuliwa na viongozi wao
 
Wasira mzee atakufa kwa stress yule mzee. Hii ndio hasara ya kutapanya mali wakato ukiwa kijana. Ukiwa mzee unaanza kusumbua watu.

Hivi wasira alisahau nini huko serikalini?
 
Pamoja na mambo mengine, ni vyema kuwa na sheria zitakayozuia CCM kuchukua watoto wa shule na walimu wao madarasani kwa ajili ya kwenda kuwajaza uwanjani kama wanavyofanya TABORA 🤣 🤣
 
Hapo alichokosea ni nini...amesema kweli kuwa Warioba hana katiba..na kazi aliyopewa ilikuwa ni kukusanya maoni...na mwisho ni kuwasilisha kwa bunge maalum la katiba ili kupitia maoni hayo na mwisho kupelekwa kwa wananchi kwa ajili ya kupigiwa kura...wivu wa mzee Wassira uko wapi hapo?
 
Wasira mzee atakufa kwa stress yule mzee. Hii ndio hasara ya kutapanya mali wakato ukiwa kijana. Ukiwa mzee unaanza kusumbua watu.

Hivi wasira alisahau nini huko serikalini?
Amewasahau wajukuu wake huko🚶
 
We boya huelewi kitu.
Asante mwenye akili unayeelewa lakini huwezi tetea hoja yako...chuki zitakumalizeni...umeandika mwenyewe unashindwa kutetea hoja yako.."acheni matusi, kama mnatofautiana hoja msitukane" alisema mwenyekiti wa chama
 
We boya huelewi kitu.
Asante mwenye akili unayeelewa lakini huwezi tetea hoja yako...chuki zitakumalizeni...umeandika mwenyewe unashindwa kutetea hoja yako.."acheni matusi, kama mnatofautiana hoja msitukane" alisema mwenyekiti wa chama
 
Kinadharia uko sahihi lakini kwa kuwa kuna katiba nyingi zilipendekezwa huko nyuma sasa ili kuitofautisha na zilizo pendekezwa awali inaitwa katiba ya Warioba kupunguza maswali ya ni katiba gani inayojadiliwa! Warioba alikuwa Mwenyekiti wa kukusanya maoni ya katiba hiyo.

Pia nadhani nyingine ni katiba ya Jaji Kisanga. Jaji Kisanga pia alikuwa Mwenyekiti wa katiba hiyo.
 
Nashukuru...lakini hao wapinzani huwa hawasemi 'katiba ya Warioba' husema 'katiba iliyopendekezwa na tume ya Warioba', sasa ndugu Muuza Kangala...amemnukuu Mzee Wassira akisema 'hakuna katiba ya Warioba' ni mzee yuko sahihi kama kuna mtu anasema kuna katiba ya Warioba
 
Ngoja siku Mzee Warioba atoe maoni yake yasiyowapendeza wapinzani hapo ndipo hutosikia tena kuita katiba ya Warioba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…