medsebapol JF-Expert Member Joined Jul 16, 2015 Posts 327 Reaction score 225 Oct 18, 2016 #1 Wanawake nilianza kuwachukia tokea shule ya msingi. Ni pale mwanamke wangu aliponiacha na kwenda kwa jamaa mwenye kichongeo kipya ...inauma sanaa... WANAWAKE SIO WATU WA MCHEZO MCHEZO ASEEE Bac tuu[emoji20][emoji20][emoji20][emoji20]
Wanawake nilianza kuwachukia tokea shule ya msingi. Ni pale mwanamke wangu aliponiacha na kwenda kwa jamaa mwenye kichongeo kipya ...inauma sanaa... WANAWAKE SIO WATU WA MCHEZO MCHEZO ASEEE Bac tuu[emoji20][emoji20][emoji20][emoji20]
Wa Mkoani Member Joined Oct 16, 2016 Posts 70 Reaction score 43 Oct 18, 2016 #2 Mugabe Jr [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]