Wix pia ni nzuri sana haina chemical na ngozi yako inang'aa vzr sana bila kuichubua natumia mimi ninauzoefu nayo.Habari warembo nilikua naomba kueleweshwa hivi hizi cream kama wix, dela nk ni asilia hazina chemicals?
Nataka cream kutumia asilia lakini zitakazoipa ngozi yangu mng'ao na rangi amazing.. navutiwa zaidi na wix je haina chemical.
Bei yake ikojena mimi nimenunua American dream cocoa butter lemon og nimeanza kutumia leo ntakuja kukupa mrejesho ,hii yenyewe haichubui kabisa inangarisha ngozi labda kama utaamua kuchanganya na serum
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23]aisee wanawake shikamooni yaan mkienda dukani wnyewe mkiambiwa bei mnashtuka utafikiri mmegusa grid ya taifa sasa ngoja mtudake tuende wote huko utasikia "ndio bei yake mbona tena imepungua"
Hahahaa sasa nishtuke mbele yako ili ushikilie hapohapo kuwa bei ni kubwa[emoji23][emoji23][emoji23]aisee wanawake shikamooni yaan mkienda dukani wnyewe mkiambiwa bei mnashtuka utafikiri mmegusa grid ya taifa sasa ngoja mtudake tuende wote huko utasikia "ndio bei yake mbona tena imepungua"
Hahaha kwa hyo mnajionaga mpo na kigogo flan iv ni kumnyoosha tuHahahaa sasa nishtuke mbele yako ili ushikilie hapohapo kuwa bei ni kubwa
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23]aisee wanawake shikamooni yaan mkienda dukani wnyewe mkiambiwa bei mnashtuka utafikiri mmegusa grid ya taifa sasa ngoja mtudake tuende wote huko utasikia "ndio bei yake mbona tena imepungua"
mbona kawaida,hio wix umeulizia si ile anauza director joan ye anauza 40,000/= kabisa,bei ndio hizo hizo