Wiz Khalifa amshauri Kanye West avute ganja ili zimsaidie apone kabisa

STUNTER

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2015
Posts
13,076
Reaction score
17,247
Rapper Wiz Khalifa amegeuka daktari kwa
kumshauri Kanye West akitaka apone kuna dawa
rahisi anatakiwa aitumie. Akiongea na mtandao wa TMZ Jumatatu hii,
hitmaker huyo wa See You Again amemwambia
Kanye anatakiwa avute bangi ili siku yake iwe
nzuri.
“He need to smoke some weed. Smoke some KK.
Make your day-day all better. I’ma send him some
to the mental institution,” amesema Wiz.
West
amekuwa akisumbuliwa na matatizo ya akili kwa
muda sasa hali iliyompelekea kupelekwa hospitali
ya mjini Los Angeles wiki iliyopita.
 
Ma black america ndio wanafanya mpaka ile nchi inasikika ulimwenguni japo wanabaguliwa lakini angalia ma super star wote wakubwa duniani wametokea USA kuanzia basketball,mziki,ngumi,sijui kwanini wanatumika na masonic
 
Kanye is in that condition simply bse he has exposed the illuminat, ref 19nov event last speech, having performed only two songs n switched to disposable truth ever told by the late allegedly illuminated artist who are no longer with us today like Mj,
 
Kwahiyo unataka kusema Kanye soon atadanja nayeye?
 
Kwani uchizi unapona kwa kuvuta bangi?
 
Kanye apo alipo bangi ndizo zilizomzingua mpaka kalazwa
 


Sasa kwa akili yako Wiz Khalifa ni mtu wa kumsikiliza kweli? Mwangalie alivyo, jamaa kaunguza akili zake zote kwa ganja na is stupid by choice, eti leo hii ndiyo aje kuwa mshauri? Dude is stupid beyond recognition, anatauta tu kick.
 
Sasa kwa akili yako Wiz Khalifa ni mtu wa kumsikiliza kweli? Mwangalie alivyo, jamaa kaunguza akili zake zote kwa ganja na is stupid by choice, eti leo hii ndiyo aje kuwa mshauri? Dude is stupid beyond recognition, anatauta tu kick.
Mafanikio yako unadhani unaweza kumpita wiz khalifa? Ambaye unasema akili zake ameziunguza kwa bangi
 
Mafanikio yako unadhani unaweza kumpita wiz khalifa? Ambaye unasema akili zake ameziunguza kwa bangi


usiwe mjinga kihivyo.....nimeongelea mafanikio yangu wapi? I hope wewe ni mtu mzima au una akili timamu. Jiulize, as a black man....ungependa kuwakilishwa na Wiz Khalifa bungeni and why not? Dude is so fucking stupid.
 
A see ivi familia ya kardisian ni aje sheee,..mbona IPO delinquent Sanaaa,..waume zao wote wanechanganyikiwa ni nn iko!?
 
Kwahiyo unataka kusema Kanye soon atadanja nayeye?
Sio rahisi, currently they are reprogramming him, kwa hiyo nadhani wanamfunga mdomo kwa namna wanavyojua wao... Na atakaporejea atakaa kimya na hiyo ndo chance itakayomweka hai, otherwise wanaeza mtengenezea tukio na ukaskia amekufa kwa sababu ya drug addiction with excessive dossage.... Hawakawii kumwundia zengwe. History inaonesha wengi waliofichua live au hata kwa imagery hawakuishi mda mrefu, aaliyah, ashanti, pac na hata Steve Jobs
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…