#COVID19 Wiz Khalifa athibitisha kuumwa corona

Cannabis

JF-Expert Member
Joined
Jan 20, 2014
Posts
11,557
Reaction score
33,535


Mwanamuziki wa miondoko ya hip-hop nchini marekani maarufu kwa jina la Wiz Khalifa, amethibitisha kupitia ukurusa wake wa twitter kuwa amepata maambukizi ya virusi vya corona. Amewatoa wasiwasi mashabiki wake kwa kusema hana dalili zozote, ila anawaomba wakae mbali naye kwa muda kidogo. Mwanamziki huyo alikutana na msanii Diamond Platnumz wiki mbili zilizopita hatua iliyoashiria uwezekano wa kutoa wimbo pamoja.
 
Unataka kusemaje. Kwamba kaambukizwa na diamond? Ama Diamond tumuwrke karantini itakuwa kaukwaa toka kwa wizi Khalifa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…