Nimesoma magazeti matatu jana,Daily News,Nipashe na Mwananchi. Kulikuwa na taarifa kwamba Waziri fulani alitoa makadirio ya fedha ya wizara yake,lakini hotuba kamili haikuwepo katika gazeti lolote.
Wabunge wanaweza vipi kuongea Dodoma bila kuwashirikisha waandishi wa habari?kwa radio,TV na magazeti.